Mke wa kaka anataka tuendelee

Aiseee!! Kama ni kweli kwa namna unaomba ushauri ni kama unataka ridhaa ya namna ya kuendelea.

Ifikie hatua muheshimiane kwa sababu hamna faida mtapata zaidi ya kuziaibisha familia zenu.
 
Watu wanapiga story zao za ajabu humu bila kuupa heshima mtandao. Dakika yotote unakuumbua au kutengeneza kifo chako.

Kitendo cha kuandika namna alivyotumwa na kaka yake na eneo husika basi ameharibu kila kitu
Zingine hizi ni chai tu mkuu sema tunachangia tu kuchangamsha genge 😀
 
Hii michezo ya kumtoa mtu kijijini eti unamsaidia, kumbe unajiaribia.
 
Mkuu mbona unahasira au wife wako wanamnaniiii😅
HHuyu dogo ana amini kaka yake ni fala hawezi kuwemo humu jf,dogo utaleta mlejesho wa kaka yako akiyafumua hayo marinda yako.
 
Aiseee!! Kama ni kweli kwa namna unaomba ushauri ni kama unataka ridhaa ya namna ya kuendelea.

Ifikie hatua muheshimiane kwa sababu hamna faida mtapata zaidi ya kuziaibisha familia zenu.
Tatzo ananipa na vipesa sasa nikimpotezea nisipewe hela mkuu
 
Aujafikiria kbc mzee
 
Tatzo ananipa na vipesa sasa nikimpotezea nisipewe hela mkuu
Dooh!! Ndo vijana wa sasa mlipofikia huku. Lol

Tafuta pesa zako walau utembee kifua mbele wacha kutegemea pesa za shemeji wewe mana mwisho wa siku ni lazima utakuwa mtumwa.
 
.....naomba niwape mrejesho kidogo wakuu baada ya kusoma ushaur wenu wana jf jana shemeji yangu kanichukua hadi city center

Akanambia"S"nakupenda sana ila mbona unaonekana unamawazo sana au umepata mwingine?"

Nikamwambia shem mim naogopa Kaka akijua. akawa kama amepanik hivi "Kwahio utamwambia au achautoto S"

akasema kama nitaondoa hofu ataninunulia pikipik iwe kama kitega uchumi nimuajiri mtu kisiri Siri

Nikasema poa Tukaelekea Hotel moja inaitwa MIPA HOTEL Nasubiria niwe baba mwenye boda boja mjini hapa mniombee wadau......

"Kipunga". mwanza. Mwanza
 

Mringilili umenikbusha mbali sana Uyo jamaa kiloleni Tabora mjini alishakua diwani ka sikosei uyu bwana [emoji16][emoji16]
 
Aujafikiria kbc mzee
Ukisoma hapa ukaekewa utajua nimecoment Nini ..... Mwanamke kapenda na dogo akizingua tu atakosa vyote hadi undugu
 
Kama shemeji yako mgonjwa kakuua wewe na nduguyo, nyie wote wagonjwa na kama yupo mdogo wako wa kiume nae yupo kwa list ya kuonjeshwa.
 
Yajayo yanafurahisha, Millard Ayo atatuletea exclusive🤣
 
Nashauri muendelee tu...
 
Ukisoma hapa ukaekewa utajua nimecoment Nini ..... Mwanamke kapenda na dogo akizingua tu atakosa vyote hadi undugu
Hata hivyo ujue undugu ni wamilele na akiendelea kummla tunda shemeji yake ajue one day kitasanua mzee bora aachetuuu maan hicho walichoshtua kinawatosha
 
Ngese kweli wewe na chai zako[emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…