Ushauri wangu ewe kijana. Unatakiwa ufahamu kua mke wa mtu ni sumu na siku za mwizi ni arubaini.... Kama sio leo ni kesho kaka ako atagundua mchezo wako. Cha kufanya. Hama hapo nyumbani kwa haraka. Kabla ujaharibiwaHadi kuja hapa ujue maji yapo shingoni mtot anataka shoo dah! Nipo ushaur mkuu
Kishamwaga unga huyu...kwao ni katikati ya Ipole na Chabutwa!Wewe wa Ipole si ndio?
MleHabari wana jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada
Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini
Kaka Ameoa mwanake mzuri sana "Mmbulu" kabila. Tumeishi vizuri tuu kwa muda wa miez 6 sasa nyumbani kwetu kule kijijini ikatokea sherehe mdogo wangu anaolewa kaka akapewa taarifa na mim pia nikajulishwa
Kaka akasema hataenda yuko bize ila akasema utaenda na shemeji yako nikasema sawa kaka.
Kwel nikaenda na shemej yangu mpaka sikonge Tabora vijijini nikaelezwa kesho ndio kesha na mziki unatoka mjini mziki wa "Mringiriri" ni mziki mkubwa sana. kwa wakaz wa Tabora watanisaidia.
Sasa siku yakesha shemeji anataka tucheze ila akanambia tutoke pale home kwasabab anaona aibu ukweni
Kwel tukatoka pembeni kama nita 50 hivi mtoto kaanza kunikatia kiuno feni nikaanza kumbambia akaanza kutoa miguno nikawa nimefanya nae mapezi.
sasa kilichonifanya nije hapa anataka tuendelee mim naogopa kaka akijua naomba ushaur wadau.
Inamaana mzee nikaanze kulima?Ushauri wangu ewe kijana. Unatakiwa ufahamu kua mke wa mtu ni sumu na siku za mwizi ni arubaini.... Kama sio leo ni kesho kaka ako atagundua mchezo wako. Cha kufanya. Hama hapo nyumbani kwa haraka. Kabla ujaharibiwa
Ila kaka ni mtata balaa pia ndio namtegemea kiuchumi sasa itakukuaje nikidakwa.....
Mzee unafungua code sanaaa kaka yako km ni msomaji wa huu uzi si keshakujua?Habari wana jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada
Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini
Kaka Ameoa mwanake mzuri sana "Mmbulu" kabila. Tumeishi vizuri tuu kwa muda wa miez 6 sasa nyumbani kwetu kule kijijini ikatokea sherehe mdogo wangu anaolewa kaka akapewa taarifa na mim pia nikajulishwa
Kaka akasema hataenda yuko bize ila akasema utaenda na shemeji yako nikasema sawa kaka.
Kwel nikaenda na shemej yangu mpaka sikonge Tabora vijijini nikaelezwa kesho ndio kesha na mziki unatoka mjini mziki wa "Mringiriri" ni mziki mkubwa sana. kwa wakaz wa Tabora watanisaidia.
Sasa siku yakesha shemeji anataka tucheze ila akanambia tutoke pale home kwasabab anaona aibu ukweni
Kwel tukatoka pembeni kama nita 50 hivi mtoto kaanza kunikatia kiuno feni nikaanza kumbambia akaanza kutoa miguno nikawa nimefanya nae mapezi.
sasa kilichonifanya nije hapa anataka tuendelee mim naogopa kaka akijua naomba ushaur wadau.
Mkuu yani mtoto kadata balaa nilikuwa hajawai kunibeba kweny gari yake ila leo morning tumenda wote town yaani kakolea kinona
Fanya mpango umpe mimbaIla kaka ni mtata balaa pia ndio namtegemea kiuchumi sasa itakukuaje nikidakwa.....
Wewe ni mtoto wa miaka mingapi? maana umeisha sema shemej yako Ni kabila gani, na harusi imefanyikia wapi, kiasi kwamba kaka yako hapati kazi ya kujua kinachoendelea. Kilichobaki akuue tu ili tusiendelee kuwa na watu wajinga kama wewe hapa dunianiHabari wana jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada
Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini
Kaka Ameoa mwanake mzuri sana "Mmbulu" kabila. Tumeishi vizuri tuu kwa muda wa miez 6 sasa nyumbani kwetu kule kijijini ikatokea sherehe mdogo wangu anaolewa kaka akapewa taarifa na mim pia nikajulishwa
Kaka akasema hataenda yuko bize ila akasema utaenda na shemeji yako nikasema sawa kaka.
Kwel nikaenda na shemej yangu mpaka sikonge Tabora vijijini nikaelezwa kesho ndio kesha na mziki unatoka mjini mziki wa "Mringiriri" ni mziki mkubwa sana. kwa wakaz wa Tabora watanisaidia.
Sasa siku yakesha shemeji anataka tucheze ila akanambia tutoke pale home kwasabab anaona aibu ukweni
Kwel tukatoka pembeni kama nita 50 hivi mtoto kaanza kunikatia kiuno feni nikaanza kumbambia akaanza kutoa miguno nikawa nimefanya nae mapezi.
sasa kilichonifanya nije hapa anataka tuendelee mim naogopa kaka akijua naomba ushaur wadau.
Aaahaaa braza,sisi damu moja usifanye hivyo..nitaokota makopo mjini hapa.Dogo kumbe ndio tabia yako leo nikirudi nyumbani nisikukute aisee
Vavarai kuguzana wororo na shem ni hatari kubwa kaparoIla Wambulu[emoji23][emoji23] mna nini mama alishawahi kunambia ukioa Mbulu umeolea Wilaya na Kata yako nzima yan mtashare kama vile Shilingi au Public Toilet.Anyway I trough Vavarai Piga Mkunguyenge huyo shemeji yko mpka Anyooke Mazaa Fanta[emoji16][emoji16]
Huyu dogo ana amini kaka yake ni fala hawezi kuwemo humu jf,dogo utaleta mlejesho wa kaka yako akiyafumua hayo marinda yako.Mpaka hapa kaka yako ameshajua umemla mke wake usifikiri yeye haingii humu. Ni swala la kuunganisha dots tu anajua hii stori inamhusu. Jiandae kwa yajayo.
Watu wanapiga story zao za ajabu humu bila kuupa heshima mtandao. Dakika yotote unakuumbua au kutengeneza kifo chako.HHuyu dogo ana amini kaka yake ni fala hawezi kuwemo humu jf,dogo utaleta mlejesho wa kaka yako akiyafumua hayo marinda yako.