Mke wa kaka anataka tuendelee

usisahau kuleta mrejesho
 
Nilikuaga natoka Gongoni naenda Isevya kucheza disco vumbi la Mlingiriri.
Kumbe jamaa bado yupo.
 
Ushauri mzuri sana huu
 
Naichukia JF siku hizi inavijana wenye vistori vya kugushi ,mpo kwenye sherehe ,shemeji ananzaje kusema mtoke mita hizo eti mkacheze mziki? Acha chai ndugu
Pole kwa kutonielewa
 
Ni
Niwelage mami wa kurugo ene kukaya tutuo
 
Acha Uchizi. Tanzania nzima ipo ktk majonzi. Tunaomboleza kifo cha Raisi mpenda wanyonge. ww unatuletea tukupe ushauri wa uzinzi....
 
Ni kweli bora aendelee tu kula na awe na taimingi apate hata mtaji wake kisha asepe akifanya tofauti na hapo atafanyiwa visa na huyo shemeji yake mpaka atajuta kumjua
 
Ni kweli bora aendelee tu kula na awe na taimingi apate hata mtaji wake kisha asepe akifanya tofauti na hapo atafanyiwa visa na huyo shemeji yake mpaka atajutaku
Mkuu yani mtoto kadata balaa nilikuwa hajawai kunibeba kweny gari yake ila leo morning tumenda wote town yaani kakolea kinona
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…