Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,739
- 6,644
Ulimshugulikia acordingly!!Mkuu unanikumbusha binti mmoja nikiingia bafuni kukoga na yeye anaingia chooni upande wa pili kukojoa mradi tu nisikie anavyokojoa kwa mbwembe.
Ulimshugulikia acordingly!!Mkuu unanikumbusha binti mmoja nikiingia bafuni kukoga na yeye anaingia chooni upande wa pili kukojoa mradi tu nisikie anavyokojoa kwa mbwembe.
Kwan ww unapruni maua ucku mkuuTin ted ni mchana ebu kawashe taa ndani usiku ufungue zile dirisha za ndani yake (zile zenye nyavu) alafu mtu akae nje uone!!alafu lere mrejesho hapa!!
Yaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana, nyumba yake iko juujuu yaani ina (under grond) msingi wake. Sasa kidogo mme wake amejitahidi kuchagua kusema na ukweli sasa leo wakati niko zangu
nakatia maua nje ya fance yetu yule mama akawa amejifunga kanga moja alafu yuko juu kule kwenye msingi anafuta madirisha yake vioo.
Yaani nyumba yake kaweka haya madirisha ya aluminium na vioo vya tinted, hii ni mara kama ya tatu hivi kwani nimeshampimia kila nikiwa nafanya hiyo kazi ya kupruni
maua na yeye anavaa kanga moja anajifanya anafuta madirisha.
Vipi wakuu hivi haya si ni makusudi kabisa, ikumbukwe
kuwa mume wake ni dereva wa malori hua mda mwingi anakuwa safarini.
Vipi wakuu nifanye nini?
Asnte kwa ushauri mzuri mkuu wangu[emoji122] [emoji122]Angalia kila king'aacho sio dhahabu pengine ni tabia yake tu wakati wa kufanya usafi anavaa hivyo, angekua na mpango na wewe angeleta action nyingine, jichunge mkuu utaliwa tiGo uhame mtaa kwa tamaa yako, Act like man aisee
Mkuu huu 'ukuta' wako umekaa kichochezi[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mfanye kisirisiri halafu mume wake akija kujua naye na timu yake nao wakufanye na kukurusha kwenye mitandao ya kijamii ukishikishwa UKUTA,kama unadata na unachokiona vuta jiko uoe uone kama yatakutokea tena hayo,mke WA mtu sumu mkuu.
Yaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana, nyumba yake iko juujuu yaani ina (under grond) msingi wake. Sasa kidogo mme wake amejitahidi kuchagua kusema na ukweli sasa leo wakati niko zangu nakatia maua nje ya fance yetu yule mama akawa amejifunga kanga moja alafu yuko juu kule kwenye msingi anafuta madirisha yake vioo.
Yaani nyumba yake kaweka haya madirisha ya aluminium na vioo vya tinted, hii ni mara kama ya tatu hivi kwani nimeshampimia kila nikiwa nafanya hiyo kazi ya kupruni maua na yeye anavaa kanga moja anajifanya anafuta madirisha.
Vipi wakuu hivi haya si ni makusudi kabisa, ikumbukwe kuwa mume wake ni dereva wa malori hua mda mwingi anakuwa safarini.
Vipi wakuu nifanye nini?
Nilidhani anakumwagia vumbi au analalamika unamtupia majani kwake kumbe kavaa Kanga moja,so what? nini kuvaa moja azivue awe hana nguo kama moyo wako hautaki basi hata hakutii shughuli tena huo upande huangalii kabisa una angalia shughuli ilokupeleka sio kanga aliovaa....Yaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana, nyumba yake iko juujuu yaani ina (under grond) msingi wake. Sasa kidogo mme wake amejitahidi kuchagua kusema na ukweli sasa leo wakati niko zangu nakatia maua nje ya fance yetu yule mama akawa amejifunga kanga moja alafu yuko juu kule kwenye msingi anafuta madirisha yake vioo.
Yaani nyumba yake kaweka haya madirisha ya aluminium na vioo vya tinted, hii ni mara kama ya tatu hivi kwani nimeshampimia kila nikiwa nafanya hiyo kazi ya kupruni maua na yeye anavaa kanga moja anajifanya anafuta madirisha.
Vipi wakuu hivi haya si ni makusudi kabisa, ikumbukwe kuwa mume wake ni dereva wa malori hua mda mwingi anakuwa safarini.
Vipi wakuu nifanye nini?
Naomba nikupruneM-prune pia
karibuNaomba nikuprune
Omba mungu akuepushe na vishawishi, mke wa mtu sumu hata kama hutakamatwa ni hatari kwa mkeo akigunduaYaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana, nyumba yake iko juujuu yaani ina (under grond) msingi wake. Sasa kidogo mme wake amejitahidi kuchagua kusema na ukweli sasa leo wakati niko zangu nakatia maua nje ya fance yetu yule mama akawa amejifunga kanga moja alafu yuko juu kule kwenye msingi anafuta madirisha yake vioo.