Mke wa jirani yetu ananiathiri kisaikolojia

Mke wa jirani yetu ananiathiri kisaikolojia

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,590
Reaction score
29,492
Yaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana, nyumba yake iko juujuu yaani ina (under grond) msingi wake. Sasa kidogo mme wake amejitahidi kuchagua kusema na ukweli sasa leo wakati niko zangu nakatia maua nje ya fance yetu yule mama akawa amejifunga kanga moja alafu yuko juu kule kwenye msingi anafuta madirisha yake vioo.

Yaani nyumba yake kaweka haya madirisha ya aluminium na vioo vya tinted, hii ni mara kama ya tatu hivi kwani nimeshampimia kila nikiwa nafanya hiyo kazi ya kupruni maua na yeye anavaa kanga moja anajifanya anafuta madirisha.

Vipi wakuu hivi haya si ni makusudi kabisa, ikumbukwe kuwa mume wake ni dereva wa malori hua mda mwingi anakuwa safarini.

Vipi wakuu nifanye nini?
 
Mfanye kisirisiri halafu mume wake akija kujua naye na timu yake nao wakufanye na kukurusha kwenye mitandao ya kijamii ukishikishwa UKUTA,kama unadata na unachokiona vuta jiko uoe uone kama yatakutokea tena hayo,mke WA mtu sumu mkuu.
 
Nimejaribu kusketch picha ya hiyo nyumba unayoishi/ kukata hayo maua na hiyo nyumba iliyoko juu ya huyo mama anaye safisha vioo vya dirisha, bado nimeshindwa kuelewa hiyo nyumba yako na yake zimekaaje au inaonekana umejengwa bondeni alafu unawezaje kukata maua nyumba haina fence haya yakwako haina fence na ya kwake pia haina fence alafu ina madirisha ya alminium uliwezaje kumuona, nyoosha story tukuamini.
 
Yani wewe unaathiriwa kisaikolojia katika umri huo? Haya mambo watu tulishayapita wakati wa balehe, kwa hiyo sasa hivi tunaona shega tu... Au wewe mwenzetu hukupitia kwenye balehe?
 
achana na huyo mama we prune tu hayo maua ya boss usijefukuzwa kaz sawa shamba boi
 
Muache tu akutege mpaka ateguke.je wewe uko tayari mkeo aibiwe.mke wa mtu sumu
 
Aseee achana na wake za watu ndugu!kama huna wako tafuta au kanunue uko !usifanye kitu ambacho wew mwenyewe hutopenda kufanyiwa! Hatari sana !unajitafutia nuksi tupu kwenye mishe zako!
 
Hahaha wazinzi utawajua tu kwa hiyo umeweka hiyo mume wake ni dereva wa malori ili kujipa moyo huyo jirani anahitaji hogo
 
"kumbuka kuwa mme wake ni dereva wa malori huwa muda mwingi anakuwa safarini" kama hujaelewa basi utaendelea kuwa kilaza!
 
Back
Top Bottom