Mke wa jirani yetu ananiathiri kisaikolojia

Yaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana!!
Nyumba yake iko juujuu yaani ina (under grond)msingi wake!!

Sasa kidogo mme wake amejitahidi kuchagua kusema na ukweli!!sasa leo wakati niko zangu makatia maua nje ya fance yetu yule mama akawa amejifunga kanga moja alafu yuko juu kule kwenye msingi anafuta madirisha yake vioo!!

Yaani nyumba yake kaweka haya madirisha ya aluminium na vioo vya tinted!! Hii ni mara kama ya tatu hivi kwani nimeshampimia kila nikiwa nafanya hiyo kazi ya kupuruni maua na yeye anavaa kanga moja anajifanya anafuta madirisha!!

Vipi wakuu hivi haya si ni makusudi kabisa!!ikumbukwe kuwa mme wake ni dereva wa malori hua mda mwingi anakuwa safarini!!vipi wakuu nimfanye ninii
chukua contract iyo bhana hainaga kuuliza
 
Ikumbukwe kuwa nae anakutega kwa kuwa anajua we ni konda wa stend utaishia kula kwa macho tu kama uionavyo hesabu ya siku kwa boss.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu unanikumbusha binti mmoja nikiingia bafuni kukoga na yeye anaingia chooni upande wa pili kukojoa mradi tu nisikie anavyokojoa kwa mbwembe.
Mkuu umeonaeee hawa viumbe sijui wakoje!!
 
Kumbe wapo wanaotamani hatari,
 
Mke wa sumu ila akijipitisha pitisha we piga tu mwanangu
 
Kweli naweza amini vifo huwa vinatafuta watu hata ka unakiona akiri za kukikwepa hupotea[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Yaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana!!
Nyumba yake iko juujuu yaani ina (under grond)msingi wake!!

Sasa kidogo mme wake amejitahidi kuchagua kusema na ukweli!!sasa leo wakati niko zangu makatia maua nje ya fance yetu yule mama akawa amejifunga kanga moja alafu yuko juu kule kwenye msingi anafuta madirisha yake vioo!!

Yaani nyumba yake kaweka haya madirisha ya aluminium na vioo vya tinted!! Hii ni mara kama ya tatu hivi kwani nimeshampimia kila nikiwa nafanya hiyo kazi ya kupuruni maua na yeye anavaa kanga moja anajifanya anafuta madirisha!!

Vipi wakuu hivi haya si ni makusudi kabisa!!ikumbukwe kuwa mme wake ni dereva wa malori hua mda mwingi anakuwa safarini!!vipi wakuu nimfanye ninii
Usione vyaelea mkuu...mi sina mengi
 
Jichanganye dogo wakupasue hilo jicho,hafu ujue nn hakuna atakaejua kisa ila tutasema nitabia yako.
 
Back
Top Bottom