Loshoro wa kb
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 201
- 97
Mwisho wa hadithi yako umetupa swali.. Je na majibu tukupe ujue chakufanya mkuuuu..
Yaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana!!
Nyumba yake iko juujuu yaani ina (under grond)msingi wake!!
Sasa kidogo mme wake amejitahidi kuchagua kusema na ukweli!!sasa leo wakati niko zangu makatia maua nje ya fance yetu yule mama akawa amejifunga kanga moja alafu yuko juu kule kwenye msingi anafuta madirisha yake vioo!!
Yaani nyumba yake kaweka haya madirisha ya aluminium na vioo vya tinted!! Hii ni mara kama ya tatu hivi kwani nimeshampimia kila nikiwa nafanya hiyo kazi ya kupuruni maua na yeye anavaa kanga moja anajifanya anafuta madirisha!!
Vipi wakuu hivi haya si ni makusudi kabisa!!ikumbukwe kuwa mme wake ni dereva wa malori hua mda mwingi anakuwa safarini!!vipi wakuu nimfanye ninii
Wacha tamaa za kijinga wewe....unamtamani mke wa mtu?? Siku si nyingi maisha yako yatakua hatariniYaani huyu mke wa jirani yetu hua ananifanyia makusudi sana!!