Mke wa Boss ananitega

Mke wa Boss ananitega

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
810
Habari za time hii wanajamii,

Kibarua changu kipo hatarini kuota mbawa, anayeniponza ni mke wa boss.
Boss wangu ni mtu mzima kidogo umri umeenda lakini mke wake ni kabinti kadogo alafu bado kabichi kabisa ni kabinti ambako saizi yake ni kijana mchapakazi kama mimi.

Nimeingia kwenye mtihani mzito mimi ni Dereva mara nyingi huwa namchukua na kumpeleka anapotaka tukiwa wawili tu mimi na yeye nguo anazovaa ni full mtego naona hadi pichu ya jana nyeupe, ya leo nyekundu namuheshimu kama boss story anazoniambia ndio zilezile ivi unamke? Mara unamtoto, mara nihamie kwake, tukiwa tunakula mara anikanyage makusudi ilimradi tu visa.

Sasa wikendi ndo ilikuwa balaa badala atoke na mumewe anatoka na mimi aliniambia nimpeleke akaogelee kufika huko ananiambia vua nguo tuoge. Jamaniii! Ni zaidi ya visa kibarua nakipenda lakini ndo hivyo kinaota mbawa. Nikimduu boss akijua si ataniua, achilia mbali kazi ishtoshe mzee mwenyewe pisto kiunoni.
 
Kama una uhakika na kazi nyingine ya fasta endeleaa...lakini kama hiyo ndio kazi unayoitegemea kujilisha kujivisha na kuleta heshima maeneo flan flan.... basi achana na huyo mke boss. Onyesha msimamo wako..
 
The way unavoelezea either kama mwanamke au mtoto anyway hongera
 
awamu ya tano n ya kulnda sana kbarua chako, ktaa kugum kjana labda kama una pakujshkza, lakn upate shda na matatzo kbaruan kwa ajil ya MBUNYE? na zpo kbao ktaa. kuacha kaz n rahc kulko kupata kaz
 
Back
Top Bottom