Sasa hii talaka ni kuwa tu anataka kukomba pesa kumbe alijua siku nyingi kuwa ndoa ina matatizo.Mke alimpa ruhusa BG pia kila mwaka kusafiri kwa wiki moja na dada ambaye pia alikuwa ni muajiriwa wa Microsoft kwenda kokote duniani.m, huyo dada walielewana sana na BG.
Huko kuna watu ndio professional yao bro. Yani ni kazi kama kazi.Nlijia mapenzi ya kibongo tu ndio kuna uchawi wa kupelelezana, kumbe hata huko majuu mambo ni yale yale.
Mtaalam hilijambo gumu kumeza.Dah mama Belinda angekausha tuu.. Angefunika kombe mwanakharamu apite. .! Kwani amesahau simulizi ya mfalme Suleiman?
Kule ndio noma,unaweza wekewa kifaa Cha GPS Bila kujijua.Nlijua mapenzi ya kibongo tu ndio kuna uchawi wa kupelelezana, kumbe hata huko majuu mambo ni yale yale.