Mke wa balozi mtamu

Mke wa balozi mtamu

Aise wana bia za kutosha mpaka Christmas acha waendelee kujipa burudani!!!
 
kweli aisee maana sio kwa UTUMBO aliokuwa anaimba huyo jamaa

mara tulisikiaga

"..usiniseme kama napenda kula.."

[emoji2][emoji2]

na video lake lile kama alishoot kwa Simu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawa wako busy na maandalizi ya kuchuma tembele pori 🙂🙂🙂

ff3cd9c0416bef08f123e3077cdd5300.jpg
 
Hawa wako busy na maandalizi ya kuchuma tembele pori 🙂🙂🙂
Matembele ni matamu kama wake wa hayati faru...oooyaaa eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kui yuko busy na kazi na maandalizi ya Xmas na New Year, una salamu zake nimfikishie? 🙂🙂🙂 Mie nipo nipo sana tu katika lile jukwaa langu maarufu. Angalia vizuri kalenda yako isije kuwa unaangalia kalenda ya 2014 ya 2016 leo ni Jumapili.

Nimekumiss we mtu, kui yuko wapi?

Kalenda yangu!!!!!!! Kalenda yangu inaniambia vitu vingine kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom