Mke wa balozi mtamu

Mkuu nilipochoka kusikia mitaa ya kati kuna kibendi mara paaap ki-kid yanii mtu unashindwa kuonja nanasi la jirani ukapotezea unaligeuza chakula mazima?? Basii kuva NDOM auwezi ata kununu P2 aftr mechi ajifrash?
 
Kharamu tamu
 
432366cb905a177f0cd7df208cac9b0f.jpg
kuna kawimbo kakichokozi mno kanaimbwa na wazee fulani hivi kibarazani huku wakinywa bia
Mmoja anaaza....
Matembele.....
Wengine wanaitikia...
Matembele ni matamu kama mke wa jirani...
Halafu wanaendelea kwa kupokezana
Matembele ni matamu kama mke wa mwenye nyumba
....Matembele ni matamu kama mke wa balozi .....!!!
Ni kawimbo kanakoleta burudani lakini ile ni tafsida.... usiniulize zaidi sitakwambia
Mshana Yule balozi wa mtaa wa Han Hun.? Pale mkoa wa Mashariki?
 
Huu uzi nahisi aliandika deogratius nalimi kisandu tu. Maana kule fb ishamtia jela tiyari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom