Mke wa bahili huwa hapendezi

Ubahili wake hauhusu kama mwanamke ana kazi yake inayomuingizia kipato..kama mwanamke amekaa anasubiri ATM iteme aaaaaaah lazima apauke kama anaogea sabuni ya magadi....
HEART weee! I cant help to notice you here!!!!!!! LOL! Good evening!
 
Last edited by a moderator:
Jamani sabato imeingia IM ON THE POSITIVE SIDE FRM NOW MPAKA KESHO JIONI!!!!!!!!!

Kbala hujampata mume ulikuwa unapendezaje? Maybe kama kakutoa kijijini ila kama mmekutana hapa, itakuwa midosho ya supra ulishaanza kuikonga longiiiiii!!!!!!!!! Labda uamue uache kupendeza tuuuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom