Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,163
- 64,232
Najaribu kuwaza.
Kama marehemu Chivayo, angepewa u-rais kwenye nchi yake, kuna uwezekano mkubwa umasikini kwenye nchi yake ungeisha kabisa, na si ajabu kila raia angekuwa anamiliki gari ya maana.
Alikuwa ni mtu wa kutoa sana, si bahili.
Kwa mtazamo wako, unakubaliana na hili?