Ndoa ni sehemu pekee ambayo "inatakiwa mmoja ajifanye mjinga na mwingine awe tayari kumsikiliza mjinga"
Bila hivyo jua hakuna kitakachoendelea, hasa kwa hawa wanawake waliopata kazi, maana nao huwa wanaanza kujifanya wanaume,
Actually ukiona mwanamke wa namna hiyo basi fanya haya
●Tafuta sehemu ya kupa furaha, kama ni kula basi tafuta hoteli nzuri na safi zinazokuvutia, kama ni michezo basi fanya sana, usisahau kuangalia mpira ukiwa na agemates wako, itakusaidia kupunguza stress
● Uwe na mtu anayekupa faraja, hata wa jinsia tofauti ni sawa tuu,
● Usipende kupoteza muda mwingi na huyo mkeo, ikiwezekana kaa muda mwingi kazini then rudi om muda ukiwa ushaenda, kiasi ukifika wewe ni kula na kulala tuu ili ukiamka utoke kuendelea na majukumu tofauti
● Jiongeze sana, anzisha miradi ya kutosha bila kumshirikisha mwenzako, andika majina ya watoto wako katika miliki zako
● Tekeleza majukumu yako bila kujali kipato chake, kwasababu siku ukifa atajutia sana na atashindwa hata kuomba msamaha kwa Mungu coz atakuwa anayaona makosa yake directly
■ Usipofanya hayo jua kabisa utaishi kwa kinyonge sana na mwisho wa siku utakufa mapema mno, utaiona ndoa yako kama jehanamu ndogo [emoji1787]