sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Kwa nyuzi za Liverpool VPN za karibuni, ni wazi nae anapitia moto mkali sana, aachwe kwanzaLiverpool VPN dronedrake
Mwanetu anaenda kupigwa na kitu kizito huku 😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa nyuzi za Liverpool VPN za karibuni, ni wazi nae anapitia moto mkali sana, aachwe kwanzaLiverpool VPN dronedrake
Mwanetu anaenda kupigwa na kitu kizito huku 😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa kweli asee, noma sanaKwa nyuzi za Liverpool VPN za karibuni, ni wazi nae anapitia moto mkali sana, aachwe kwanza
S
Si kweli, wengi wenu mkiyapatia kidogo koburi kinapanda sana.
Mwanaume anaweza kukutunza miaka yote bila masimango, lakini huyo huyo aliuekutunza akikosa mwezi mmoja ke atamdharau hatari
Siwezi kubishana nawe sijui furushi lako ni zito kiasi gani😂😂Mwanaume anaweza kuona hamna masimango kumbe mwanamke anayaona masimango na dharau za kutosha ila anavumilia tu vile hana hela. Sasa akizikosa mwanamke anaona hana cha kuvumilia tena ndio dharau zinaanza.
Unajua masimango sio lazima amsimangie zile hela anazompa. Bali kufanya vitu vinavyomkera mwenzako kisa unajua hana cha kufanya na hata akitaka kuondoka hana pa kuanzia kwa hiyo lazima avumilie.
Ishini na wake zenu vizuri. Sisi tunavumilia sana na kuonesha kila kitu kipo sana na kumbe hamna kilicho sawa. Na tupo vizuri sana kwenye kutunza kumbukumbu zetu.
Simulia vizuri ilikuwaje, maana umeanzia mwishoni. Ukute unastahili kujibiwa hivyoHivi hii sauti ya wife inaashiria nini? Nyie wenzangu mlioowa wanawake wafanya kazi kama mlivyo mnakumbana na kadhia kama hii? Pale ambapo unataka kumuwajibisha wife?
Siwezi kubishana nawe sijui furushi lako ni zito kiasi gani[emoji23][emoji23]
Huenda nakutonesha kwa kila post
Oooh jmn njoo uchukue na pole sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya ninunulie soda nifute machozi maana nimelia kabisa
Kha!!Wewe acha kumbabaisha mtoto wa watu.
Ni kama kakuambia "hivi wakisema wanaume wajitokeze nawe utasimama!!!"Hivi hii sauti ya wife inaashiria nini?
Kila mtu yupo vizuri kwenye kutunza kumbukumbu...Mwanaume anaweza kuona hamna masimango kumbe mwanamke anayaona masimango na dharau za kutosha ila anavumilia tu vile hana hela. Sasa akizikosa mwanamke anaona hana cha kuvumilia tena ndio dharau zinaanza.
Unajua masimango sio lazima amsimangie zile hela anazompa. Bali kufanya vitu vinavyomkera mwenzako kisa unajua hana cha kufanya na hata akitaka kuondoka hana pa kuanzia kwa hiyo lazima avumilie.
Ishini na wake zenu vizuri. Sisi tunavumilia sana na kuonesha kila kitu kipo sana na kumbe hamna kilicho sawa. Na tupo vizuri sana kwenye kutunza kumbukumbu zetu.
Siwezi kubishana nawe sijui furushi lako ni zito kiasi gani[emoji23][emoji23]
Huenda nakutonesha kwa kila post
Nilichogundua wanawake wengi hawana hamu na waume zao kabisa.[emoji3] Furushi
hii comment imenichekesha jamani kha😂😂😂Ni kama kakuambia "hivi wakisema wanaume wajitokeze nawe utasimama!!!"