Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,228
- 85,158
Shenzii🤣🤣🤣Kazii ipooo wife nimemwambia sina mpango wa kujenga ukiweza tafuta mume mwingine mi acha nile maisha kwanza, so nasubir aondoke nijenge 😂😂😂
Shenzii🤣🤣🤣Kazii ipooo wife nimemwambia sina mpango wa kujenga ukiweza tafuta mume mwingine mi acha nile maisha kwanza, so nasubir aondoke nijenge 😂😂😂
kumbaafff 🤒Mi naona rahaaaa🤣🤣
Repeat againkumbaafff 🤒
typing.......Repeat again
😜😜😜kama kawaida.Nakuja uniopoe baba
Tunatetea haki zetu
Napenda uwe mshangazi wangu😃Kwenye haya maisha siku zote kesho yetu bora inatengenezwa na leo iliyo bora.
Mnaweza kumlaumu na kumpa majina ya ajabu huyo mwanamke kumbe chanzo cha yote ni yeye mwenyewe mwanaume.
Hapo ni anaonyeshwa kuwa siku zote dunia ipo duara.
Khaaa. Nani kakudanganya kuwa mi ni mshangazi?Napenda uwe mshangazi wangu😃
bora kupigwa juju na alie kubeba miezi 9 tumboni, kuliko kupigwa juju na mtu asie kujaliUmerogwa na mama yako sio bure.
Au uongo.?Aiser
Pro maxAu uongo.?
Nipe namba kwanza nikutongoze vizuri ili nikufariji najua upo kwa mawazo ya yule mbwa?Pro max
Rahaaa wakati wenzio wamepigwa makonzi ya kichwa wadogo wakinyimwa mzigo wanaandika nyuzi wakiombwa hela wanaandika nyuzi usioe mwanamke masikini daah Gen Z hawa ni kiboko aisee..Mi naona rahaaaa🤣🤣