SIR MGAX
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,331
- 2,273
Hata kama.ndio aniuze utumwani?Sawa mkuu, wengine tumebakiza mama, wanasema zimwi likujualo haliwezi likakula na kukumaliza
Hata kama.ndio aniuze utumwani?Sawa mkuu, wengine tumebakiza mama, wanasema zimwi likujualo haliwezi likakula na kukumaliza
Hunishindi🤣Nakutamani.
Kuliko kuuliwa kabisa, bora ukae utumwanjHata kama.ndio aniuze utumwani?
Njo PM naweza nikakuopoa na kukuamini.Hunishindi🤣
Kwahiyo unanishaurije sasa?Kuliko kuuliwa kabisa, bora ukae utumwanj
Andika vizuri wengine ni wazee
Msaidie we mzee mwenzioAndika vizuri wengine ni wazee humu
Kuna uzi fulani humu mtu kavunja uhusiano na mama yakeMama mwenyewe nowdays simwamini.
Nakuja uniopoe babaNjo PM naweza nikakuopoa na kukuamini.
Jiamini mwenyewe alafu afatie mama yako. Ni mtu pekee anaweza kuwa nawe kwenye hali zoteKwahiyo unanishaurije sasa?
SawaMsaidie we mzee mwenzio
Si kweli dogoJiamini mwenyewe alafu afatie mama yako. Ni mtu pekee anaweza kuwa nawe kwenye hali zote
Daah mimi najulia wapi aisee nishazeeka nyie watoto wa 2009 mnajua sana kudeka ila kwa kuwaumiza wazee ham jambo ndio maana hua mnagawa shikamoo za kutoshaD nikifupi cha Dad
Wewe ni mzee kumbe🤣Daah mimi najulia wapi aisee nishazeeka nyie watoto wa 2009 mnajua sana kudeka ila kwa kuwaumiza wazee ham jambo ndio maana hua mnagawa shikamoo za kutosha
Kwa ratio ( ulinganifu mama anaweza kuwa nawe kwa hali zote ) kwa mke pia ina asilimia chache. Damu ni nzito kuliko majiSi kweli dogo
Kisa aliambiwa mnene apunguze kulakulaKuna uzi fulani humu mtu kavunja uhusiano na mama yake
Umerogwa na mama yako sio bure.Jiamini mwenyewe alafu afatie mama yako. Ni mtu pekee anaweza kuwa nawe kwenye hali zote
Hmm kweli lakini..Kwa ratio ( ulinganifu mama anaweza kuwa nawe kwa hali zote ) kwa mke pia ina asilimia chache. Damu ni nzito kuliko maji