Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,645
- 3,890
Alisomeshwa na wazazi wake..... Lkn hao watoto pia si wakwake anataka nani awahudumie mwanaume mwenzie auuuKwani mwanaume alisomeshwa na mizimu?
Ukisikia wanaume wanatenda miujiza ndio kama hiyo
Alisomeshwa na wazazi wake..... Lkn hao watoto pia si wakwake anataka nani awahudumie mwanaume mwenzie auuuKwani mwanaume alisomeshwa na mizimu?
Wewe ndio mjinga unàepangia mshahara Wa mwanamke akati wazazi wake walijibana kumsomesha ili aje awasaidie baadae.... Yaani mwanamke anatakiwa awajibike pale ambapo mume anakua ameishiwa tuu mbali na hapo kila MTU afanye majukumu yake watoto si wakwako si wamechukua jina lako na ukoo wako unataka wasaidiwe na wajomba zao au mfyuuu wewe ndo unatakiwa ule ngumi za usoMjinga ww, nngekua karibu ungekula ngumi mbili za uso inaonyesha hujaelewa ww
Sio sahihi kwasababu angeweza kulipia tuu alafu akajua jinsi ya kumkata uyo mwanaume icho ki ela cha majiUmechanganya uhalisia na myth ndio maana nimerudia kusoma ushauri wako mara 10 sijapata cha kuchukua.
Sio sahihi kwanini na wakati chini umeelezea ni sahihi.
Ndo ivyo ukizubaa utalishwa na wanaume wenzioAseeh kwa maisha haya,..
Unajua Qurie hili suala la majukumu ndani ya nyumba huwa nikiona linavyojadiliwa humu JF na uhalisia unavyotendeka ndani ya familia za watu nashangaa saana.Sio sahihi kwasababu angeweza kulipia tuu alafu akajua jinsi ya kumkata uyo mwanaume icho ki ela cha maji
Bado sijaolewa ilakupangiana mapato hapana kwakweli...... Ntatoa kwenye familia pale ambapo ntaona mme hana na ameshiwa Mimi za kwangu ntanunua tuu vitu vidogo vidogo mavazi ya watoto maana hapo wababa wengu huwa wanasahau na kwetu pia niwakumbuke coz Mimi sitamzuia kusaidia kwaoUnajua Qurie hili suala la majukumu ndani ya nyumba huwa nikiona linavyojadiliwa humu JF na uhalisia unavyotendeka ndani ya familia za watu nashangaa saana.
Ndani ya ndoa hakuna mshahara wa mme wala wa mke. Ila kinachoingia ndani ya familia ni cha familia yote watoto baba na mama. Ukikuta baba hajui matumizi ya mke au mke hajui matumizi ya baba basi hiyo familia inachangamoto nyingi saana.
Mwanamke hata kama ulisomeshwa na baba yako au mama yako .utakachokipata sio cha familia uliyotoka bali ni cha kizazi chako unachokijenga wewe na uliyekutana naye maishani. Ndiyo maana baba yako na mama yako nao ni watoto kwa wazazi wengine lakini mama yako anachoingiza amekuwa akikusaidia wewe zaidi kuliko wazazi wake.
Labda nikuulize umeolewa? Mapato yako huwa unayapeleka wapi?
Alianza kujenga bila kukutaarifu? Hapo ndio palikuwa pabaya kwanini hakukuambia?me alikua hvyo hvyo siku moja nkamtolea uvivu japo sio mchoyo ila nligundua anajenga kwao anamjengea mama yake kitu ambacho cku mmind nilimpongeza
Ok hiyo ni theory siku ukiolewa jaribu kupractice halafu utaona.Bado sijaolewa ilakupangiana mapato hapana kwakweli...... Ntatoa kwenye familia pale ambapo ntaona mme hana na ameshiwa Mimi za kwangu ntanunua tuu vitu vidogo vidogo mavazi ya watoto maana hapo wababa wengu huwa wanasahau na kwetu pia niwakumbuke coz Mimi sitamzuia kusaidia kwao
Hapo hujivika joho la mjane na kuonyesha kuwa anataka kudhulumiwa, yaani ndugu wa mume wasahau.Najua sana ..but natafakari Uharari Wa yeye kumiliki kila kitu when I die...and when men die...wakati hakucoperate during struggle... HV wewe unaona ni sawa? umewah tafakar ukifa kwamba even your loverly the only Heroe mama yako aweza pigwa pin asionekane pako? Umewh tafakar ndg zako....after urnomore wataishije? Some women Ni Jipu!!!
Ndo ivyo ukizubaa utalishwa na wanaume wenzio
Haya ndo mambo sasa sio mtu anakuja kutereza humu, taraka hutoi, watoto hulei, hela huna, mipango huna, future hakuna unaishia kulalamika umemenda, Huo n undezi na hapo ndo ninapounga mkono hoja ya utekaji iendelee daimaKuna kitu anajivunia huyo...hasa kwamba huwezi muacha kwa sababu ya watoto au unampenda sana...Na usiombe ufilisike utaomba ardhi ipasuke...Me yalinikuta hayo...Nilikuwa mwajiriwa wa serikali na nilioa na tukajaaliwa watoto 2.ila nioaona ni bora nikajiendeleze tena kielimu,tukakubaliana.kwakuwa nilikuwa nimejichanga vya kutosha sikuhitaji financial sponsorship ya MTU..na nilikuwa na miradi yangu nikampa usimamizi me nikajikita na masomo..uzuri wenyewe nililipa ada yoote ya masomo kwa muda uliotakiwa na gharama zingine zoote including accommodation. Kazi ikaanza sasa..muongozo Woote niliompa ikawa ni ****'n ideas to her...ndani ya 18 months miradi imedrop for 80% ilifikia kipindi nakosa hadi 2000 ya kutia mb ili nisearch materials ya research yangu...Na ubaya zaidi niliopt kuacha kazi kwakuwa waliniambia km naenda kusoma watanifukuza nami nikaacha kabisa..ilifikia kipindi namuomba anitumie japo 5000 ili ninunue mb majibu ninayopewa hayafai kuyasema..mbaya pesa hakufuja kwa manufaa yake au ya watoto jambo lilipelekea hadi kuanza chuki na mwanawe wa kwanza ambaye alikuwa na miaka 9 at that time...
Nashukuru mungu nilimaliza na kurudi mtaani ila 8 month leter mambo yakawa magumu zaidi na stress zake zilizidi na maneno machafu ila nilikuwa namvumilia si kwa maana nampenda la kuna kitu nilikuwa nasubiri ili nami nimkomoe...ilifikia hatua hadi ndugu (wake/wangu) wangu wametukalisha vikao yeye anasema km yeye mwanaume aniache halafu nampotezea.
Ilipofikia mwaka Jana mwezi wa 8 mitego yangu ya niliyotega ikawa OK..miezi 3 mbele mambo yakawa mazuri Mara 10 ya kabla sijaenda masomoni ndio akaanza kurudisha mapenzi motomoto..ila me moyoni namvutia kasi tu.ilipofika mwezi 12 tarehe 31 mwaka Jana nikaita kikao cha familia nikawakumbusha historia then nikampa talaka Tatu zake na kila alichotaka wanangu Woote nikawachukua maana sikuwa tena na mapenzi nae...lakn yeye ndio kaumia sana maana mh hadi sumu alikunywa lakn kwa sasa stress free me na wanangu wanaenjoy life wanachokitaka wanapata at right time.
Mkuu Wote humu tunajua jukumu la kutunza familia ktk masual ya financial n kweli n la baba, Ila sio to such extent asee, 12 yrs hujawah kuchangia chochote leo hii unaambiwa bili ya maji nayo unashndwa? kwa mshahara wa lak 9 per month? . Wapo wanawake wanauza Nyanya barabaran lkn they still do smthn in their family, sio km jukumu ila hata upendo kwa familia tuuAlichofanya mk3o sio sahihi ingawa ilo ni jukumu la mwañaume..... Watoto ni wakwako walishe walipie ada na pia tuishi kwenye nyumba nzuri huo ndo uanaume na hata nkitaka kwenda saloon nguo mpya pia uhusike uondo uanaume ukisikia wanaume wanatenda miujiza ndo kama hivi..... Kama mwanamke anafanya kazi pesa yake acha asaidie kwao kama kuna shida coz ndo waliomsomesha atoe hapo nyumbani kama Mme wake amekwama basy yaani ela ya mkeo usiipigie mahesabu labda kama ulichangia elimu yake
Mpe vitasa huyoNina mke na watoto wanne, mi ni mjasiliamali na make wangu ni mtumishi Wa umma..mshahara wake ni lak 9..Kwa kwl for 12 yrs....sjaona mchango Wa pesa..zake..,Umeme,Maji,kingamuz,chakula na ada za machalii...natoa Mimi tu....
Mwez ulopita nilmwambia bill ya Maji 23500 alipe. Hakulpa,mwz huu. .wamekuja kukata Maji..Nida!!! Kasema wakate tu...nmefk Hom taps locked.
Jamanni wanawake mlokazn,na wanaume mlooa workers je Kw ndoa zenu hili ni sahihi?!!sio unyonyaji huu Wa waziwazi?
uduanzi huuHata siku moja usiipangie hela ya mwanamke matumizi.. Hela yake ni yake ila yako ni yake..!!
Wewe ni mwanamke usiyewajua wanawake, au ni mwanamke usiye uke(si tusi).Inategeme anasababu za kufanya hayo yeye sio kichaa si ajabu unamichepuko kibao unahonga nje kama hela unaokota atoe hela yake ya nn hata kama ni mimi wanaume nyie ndio mnatufanya tuwe wakatili ukishajua mumeo mhongaji ww utatoa hela yako ili iweje