Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

mkulima gwakikolo

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
1,767
2,854
Nina mke na watoto wanne, mi ni mjasiliamali na make wangu ni mtumishi Wa umma..mshahara wake ni lak 9..Kwa kwl for 12 yrs....sjaona mchango Wa pesa..zake..,Umeme,Maji,kingamuz,chakula na ada za machalii...natoa Mimi tu....
Mwez ulopita nilmwambia bill ya Maji 23500 alipe. Hakulpa,mwz huu. .wamekuja kukata Maji..Nida!!! Kasema wakate tu...nmefk Hom taps locked.

Jamanni wanawake mlokazn,na wanaume mlooa workers je Kw ndoa zenu hili ni sahihi?!!sio unyonyaji huu Wa waziwazi?
 
Unatakiwa kumpangia majukumu kulingana na mshahara wake,mwenzio nimempangia kuwa yeye anahusika na mambo ya chakula cha nyumbani na menu ya aina ya chakula tumepanga ili kuepusha kula kande kila siku,akikushinda mshtaki kwa washenga,shangazi zake,mama yake hata dada zake ili wamwambie.Kiukweli huo ni unyonyaji tena wa hali ya juu,kama hana msaada basi aache kazi akae nyumbani.
 
ndio maisha haya
 
Attachments

  • FB_IMG_1495475489392.jpg
    FB_IMG_1495475489392.jpg
    14.8 KB · Views: 51
Nina mke na watoto wanne, mi ni mjasiliamali na make wangu ni mtumishi Wa umma..mshahara wake ni lak 9..Kwa kwl for 12 yrs....sjaona mchango Wa pesa..zake..,Umeme,Maji,kingamuz,chakula na ada za machalii...natoa Mimi tu....
Mwez ulopita nilmwambia bill ya Maji 23500 alipe. Hakulpa,mwz huu. .wamekuja kukata Maji..Nida!!! Kasema wakate tu...nmefk Hom taps locked.

Jamanni wanawake mlokazn,na wanaume mlooa workers je Kw ndoa zenu hili ni sahihi?!!sio unyonyaji huu Wa waziwazi?

Huyo mwanamke tabia ya kuchuna mabuzi kabla hajawa na wewe ilimuathiri sasa alishindwa kuiacha.mambo kama haya ya mkeo i believe yanaweza kuanzisha mgogoro ndani ya nyumba
 
Back
Top Bottom