Anachezea upatu na michango ya sherehe za mashosti
Alichofanya mk3o sio sahihi ingawa ilo ni jukumu la mwañaume..... Watoto ni wakwako walishe walipie ada na pia tuishi kwenye nyumba nzuri huo ndo uanaume na hata nkitaka kwenda saloon nguo mpya pia uhusike uondo uanaume ukisikia wanaume wanatenda miujiza ndo kama hivi..... Kama mwanamke anafanya kazi pesa yake acha asaidie kwao kama kuna shida coz ndo waliomsomesha atoe hapo nyumbani kama Mme wake amekwama basy yaani ela ya mkeo usiipigie mahesabu labda kama ulichangia elimu yake
Hivi mkuu unashindwaje kujua maisha hasa ya pesa za mkeo. Kuna maelewano kweli?mdanganye kuna mkopo unataka kuchukua sasa wanataka bank statement yako na yake,alafu akikupa we chunguza transactions utapata jibu,ni either anapeleka kwao au anahonga au kuna mradi anafanya kimya kimya! Au anamakato makubwa bank ya loan ambayo haina maelezo! Kisha fanya maamuzi magumu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ana roho ngumu.Mkuu wew ni komandoo wale wa kupasua matofari pale taifa hawakufikii hata kidogo
Alichofanya mk3o sio sahihi ingawa ilo ni jukumu la mwañaume..... Watoto ni wakwako walishe walipie ada na pia tuishi kwenye nyumba nzuri huo ndo uanaume na hata nkitaka kwenda saloon nguo mpya pia uhusike uondo uanaume ukisikia wanaume wanatenda miujiza ndo kama hivi..... Kama mwanamke anafanya kazi pesa yake acha asaidie kwao kama kuna shida coz ndo waliomsomesha atoe hapo nyumbani kama Mme wake amekwama basy yaani ela ya mkeo usiipigie mahesabu labda kama ulichangia elimu yake
Kwani wewe ni me mkuu???[emoji32][emoji32][emoji32]Pole sana mkuu, wanaume tumeumbwa mateso.
Umeongea vizuri sana, mwana umleavyo ndivyo akuavyo inaonyesha jamaa alikua over provider wa familia na ndivyo hivyo mkewe alivyozoea na unaweza kukuta huyo mkewe hata cha maana hanunui kazi anakula hata tuMimi ni muolewa na siezi kukwambia naishi vipi na mume wangu.Ila wanasema mtoto umleavyo ndo akuavyo.Inaonekana tokea mwanzo ulijicommitte kuhudumia familia kwa 100%.Sio mbaya wewe ndo mwanaume endelea kulea.Ila angalizo ni moja tu Mwambie mkeo atambue kuwa hakuna mwenye mkataba naMwenyezi Mungu siku Muumba akiamua kuwa anakuhitajia(wewe mume)na hajajifunza kuhudumia familia ataadhirika mtaani.Hata kama hachangii katika Maisha yenu,je anafanya nini na Maisha yake Binafsi?Japo mkisha kuwa mke na mume hakuna maisha binafsi.Au na wewe(Mume)kila kitu ni cha kwako sio cha kwenu?Au anajilinda kutoka kwako na matendo yako? anaona yuko mguu nje mguu ndani hivyo anachukua tahadhari na kufanya yake.Asikwambie mtu hakuna mwanamke anayependa kwa dhati na na kuamini uhusiano wake na ana pesa akaacha Maji ya katwe????Kaa na mkeo muongee kuna kitu hapo aidha Humthamini na humfanyi kama sehemu ya maisha yako ,aidha hana mapenzi ya dhati kwako,ama Wewe ni mbinafsi na ni kati ya zile familia kuwa kila kitu ni cha mume au Hajakuwa bado..Ni kwa mtazamo wangu tu!
Labda mkeo usitumie assumption zako kuwaweka kenge kwenye mambaWanawake bora wenye upendo na heshima ya hali ya juu ni wenye elimu ya juu ya L.Y yaani la saba,form 4 na six mwisho.akiwa na bachelor na ajira anaota mapembe hatawaliki na haambiliki