Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

hao wadudu ndo zao......chapa kazi brazaaaa,,,,,tunza familia yako wacha kufikiria pesa za mkeo...pasua kichwa....
 
Wadau,wengi.. Mumekoment kiume kwl kwl,lakn hivi wanawake wameelewa swali muktadha ktk hoja hii? Mbona wanawake wako kimya hapa? Men wengi mumekoment vzr sana....wachache wameonyesha kulaumu....wanaoulaumu
Wamtafakari" Mwanamalundi"

Wakati mwingne Kw ndoa we stay silent Kwa ajili ya watoto....!! WAnawake nn mchango wenu...Kw hill LA mwanamke mwenzenu??? HV zile kitchen party za Gharama sana is what??!
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kuna rafiki yangu mwanamke nafurahia maisha yake kwa kweli mshahara wake unafanya kazi sawasawa na mume yaani juzi kafanya ukarabati wa nyumba yao kabadili furniture n yaani hadi raha na mume anakiri kwamba mkewe ni mtu muhimu sana kwake.......wanawake wabadilike unashindwa kuweka nyumba au familia yako katika mazingira mazuri kisa kusubiri hela ya mume nawe unauwezo wa kufanya jambo jema
 
Nina mke na watoto wanne, mi ni mjasiliamali na make wangu ni mtumishi Wa umma..mshahara wake ni lak 9..Kwa kwl for 12 yrs....sjaona mchango Wa pesa..zake..,Umeme,Maji,kingamuz,chakula na ada za machalii...natoa Mimi tu....
Mwez ulopita nilmwambia bill ya Maji 23500 alipe. Hakulpa,mwz huu. .wamekuja kukata Maji..Nida!!! Kasema wakate tu...nmefk Hom taps locked.

Jamanni wanawake mlokazn,na wanaume mlooa workers je Kw ndoa zenu hili ni sahihi?!!sio unyonyaji huu Wa waziwazi?

Kama mkeo ni mchagga ujue anajenga moshi [emoji23]
 
Mtaftie mwenzie akili itamkaa... Nchi ikiongozwa na chama kimoja watawala hujisahau sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nina mke na watoto wanne, mi ni mjasiliamali na make wangu ni mtumishi Wa umma..mshahara wake ni lak 9..Kwa kwl for 12 yrs....sjaona mchango Wa pesa..zake..,Umeme,Maji,kingamuz,chakula na ada za machalii...natoa Mimi tu....
Mwez ulopita nilmwambia bill ya Maji 23500 alipe. Hakulpa,mwz huu. .wamekuja kukata Maji..Nida!!! Kasema wakate tu...nmefk Hom taps locked.

Jamanni wanawake mlokazn,na wanaume mlooa workers je Kw ndoa zenu hili ni sahihi?!!sio unyonyaji huu Wa waziwazi?
Me ningetimua tu ...oa mwingine ndo solution
 
Hiyo hali nahic ni wewe mwenyewe ulii-tolerate toka mkiwa kwenye mahusiano, lyk unakuwa na mwanamke who doesn't do sh*t for you hlf unajipa hope kwamba she's a girl bla bla women don't do this bla bla

Hlf inavoonesha mkeo hakukupenda tangu mwanzo sema ulkuwa hujui, aliolewa na ww basi tu
mkulima gwakikolo
Pewa balimi 2 mkuu kwa bill yangu,,,
 
Nadhani hiyo imeanzia tangu mwanzo mlipoanza hivyo wala usilalamike ndio uanaume huo
 
mdanganye kuna mkopo unataka kuchukua sasa wanataka bank statement yako na yake,alafu akikupa we chunguza transactions utapata jibu,ni either anapeleka kwao au anahonga au kuna mradi anafanya kimya kimya! Au anamakato makubwa bank ya loan ambayo haina maelezo! Kisha fanya maamuzi magumu
Mbona unamshauri kitu ambacho unajua hakitakaa kitokee! Yaani ampe benki stetimenti!
 
Back
Top Bottom