Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Umemuendekeza sana
Umesahau mumy kuna na vikoba siku hizi
Mtaftie mwenzie akili itamkaa... Nchi ikiongozwa na chama kimoja watawala hujisahau sana
Ila saa nyingine visababishi vya yote hayo ni wanaume wenyewe kwa sababu ikiwa tangu ameanzana naye anajifanya anamudu kufanya kila jambo mwenyewe kwa sababu ye ni mwanaume lazima mwisho wake uwe huo mana anakuwa ameshazowea na kuona pesa yake haina kazi.Kweli kabisa. Na ile tabia ya kununua nguo na mawigi kukomeshea mashosti lazima pesa ya mke isionekane
Hiyo dawa uliyompa ni nzuri sana kwa afya yakeKuna kitu anajivunia huyo...hasa kwamba huwezi muacha kwa sababu ya watoto au unampenda sana...Na usiombe ufilisike utaomba ardhi ipasuke...Me yalinikuta hayo...Nilikuwa mwajiriwa wa serikali na nilioa na tukajaaliwa watoto 2.ila nioaona ni bora nikajiendeleze tena kielimu,tukakubaliana.kwakuwa nilikuwa nimejichanga vya kutosha sikuhitaji financial sponsorship ya MTU..na nilikuwa na miradi yangu nikampa usimamizi me nikajikita na masomo..uzuri wenyewe nililipa ada yoote ya masomo kwa muda uliotakiwa na gharama zingine zoote including accommodation. Kazi ikaanza sasa..muongozo Woote niliompa ikawa ni ****'n ideas to her...ndani ya 18 months miradi imedrop for 80% ilifikia kipindi nakosa hadi 2000 ya kutia mb ili nisearch materials ya research yangu...Na ubaya zaidi niliopt kuacha kazi kwakuwa waliniambia km naenda kusoma watanifukuza nami nikaacha kabisa..ilifikia kipindi namuomba anitumie japo 5000 ili ninunue mb majibu ninayopewa hayafai kuyasema..mbaya pesa hakufuja kwa manufaa yake au ya watoto jambo lilipelekea hadi kuanza chuki na mwanawe wa kwanza ambaye alikuwa na miaka 9 at that time...
Nashukuru mungu nilimaliza na kurudi mtaani ila 8 month leter mambo yakawa magumu zaidi na stress zake zilizidi na maneno machafu ila nilikuwa namvumilia si kwa maana nampenda la kuna kitu nilikuwa nasubiri ili nami nimkomoe...ilifikia hatua hadi ndugu (wake/wangu) wangu wametukalisha vikao yeye anasema km yeye mwanaume aniache halafu nampotezea.
Ilipofikia mwaka Jana mwezi wa 8 mitego yangu ya niliyotega ikawa OK..miezi 3 mbele mambo yakawa mazuri Mara 10 ya kabla sijaenda masomoni ndio akaanza kurudisha mapenzi motomoto..ila me moyoni namvutia kasi tu.ilipofika mwezi 12 tarehe 31 mwaka Jana nikaita kikao cha familia nikawakumbusha historia then nikampa talaka Tatu zake na kila alichotaka wanangu Woote nikawachukua maana sikuwa tena na mapenzi nae...lakn yeye ndio kaumia sana maana mh hadi sumu alikunywa lakn kwa sasa stress free me na wanangu wanaenjoy life wanachokitaka wanapata at right time.
Mwanamke anayeweza kutoa pesa kwa matumizi ya familia yake ni single mothers tu!.
Ila saa nyingine visababishi vya yote hayo ni wanaume wenyewe kwa sababu ikiwa tangu ameanzana naye anajifanya anamudu kufanya kila jambo mwenyewe kwa sababu ye ni mwanaume lazima mwisho wake uwe huo mana anakuwa ameshazowea na kuona pesa yake haina kazi.
Hivyo watulie tu.
Mkuu nimepata shock/mshituko kwa sababu nilishamtongoza pm![emoji53][emoji53][emoji53]Hata mimi nilidhani kama wewe. Hizi avatar nyingine zinatuzuga sana.
Mkuu nimepata shock/mshituko kwa sababu nilishamtongoza pm![emoji53][emoji53][emoji53]
..mkuu ukiamua kuoa majukumu yote ni yako,..usitegemee mshahara wa wife!Nina mke na watoto wanne, mi ni mjasiliamali na make wangu ni mtumishi Wa umma..mshahara wake ni lak 9..Kwa kwl for 12 yrs....sjaona mchango Wa pesa..zake..,Umeme,Maji,kingamuz,chakula na ada za machalii...natoa Mimi tu....
Mwez ulopita nilmwambia bill ya Maji 23500 alipe. Hakulpa,mwz huu. .wamekuja kukata Maji..Nida!!! Kasema wakate tu...nmefk Hom taps locked.
Jamanni wanawake mlokazn,na wanaume mlooa workers je Kw ndoa zenu hili ni sahihi?!!sio unyonyaji huu Wa waziwazi?
..pole mkuu kumbe duniani kunamambo Duuh,..Kuna kitu anajivunia huyo...hasa kwamba huwezi muacha kwa sababu ya watoto au unampenda sana...Na usiombe ufilisike utaomba ardhi ipasuke...Me yalinikuta hayo...Nilikuwa mwajiriwa wa serikali na nilioa na tukajaaliwa watoto 2.ila nioaona ni bora nikajiendeleze tena kielimu,tukakubaliana.kwakuwa nilikuwa nimejichanga vya kutosha sikuhitaji financial sponsorship ya MTU..na nilikuwa na miradi yangu nikampa usimamizi me nikajikita na masomo..uzuri wenyewe nililipa ada yoote ya masomo kwa muda uliotakiwa na gharama zingine zoote including accommodation. Kazi ikaanza sasa..muongozo Woote niliompa ikawa ni ****'n ideas to her...ndani ya 18 months miradi imedrop for 80% ilifikia kipindi nakosa hadi 2000 ya kutia mb ili nisearch materials ya research yangu...Na ubaya zaidi niliopt kuacha kazi kwakuwa waliniambia km naenda kusoma watanifukuza nami nikaacha kabisa..ilifikia kipindi namuomba anitumie japo 5000 ili ninunue mb majibu ninayopewa hayafai kuyasema..mbaya pesa hakufuja kwa manufaa yake au ya watoto jambo lilipelekea hadi kuanza chuki na mwanawe wa kwanza ambaye alikuwa na miaka 9 at that time...
Nashukuru mungu nilimaliza na kurudi mtaani ila 8 month leter mambo yakawa magumu zaidi na stress zake zilizidi na maneno machafu ila nilikuwa namvumilia si kwa maana nampenda la kuna kitu nilikuwa nasubiri ili nami nimkomoe...ilifikia hatua hadi ndugu (wake/wangu) wangu wametukalisha vikao yeye anasema km yeye mwanaume aniache halafu nampotezea.
Ilipofikia mwaka Jana mwezi wa 8 mitego yangu ya niliyotega ikawa OK..miezi 3 mbele mambo yakawa mazuri Mara 10 ya kabla sijaenda masomoni ndio akaanza kurudisha mapenzi motomoto..ila me moyoni namvutia kasi tu.ilipofika mwezi 12 tarehe 31 mwaka Jana nikaita kikao cha familia nikawakumbusha historia then nikampa talaka Tatu zake na kila alichotaka wanangu Woote nikawachukua maana sikuwa tena na mapenzi nae...lakn yeye ndio kaumia sana maana mh hadi sumu alikunywa lakn kwa sasa stress free me na wanangu wanaenjoy life wanachokitaka wanapata at right time.
Watoto analea nani mda mwingi?malezi sio pesa tu ohoo,matunzo ya nyumba, watoto, usafi,mapishi nani anafanya hayaNajua sana ..but natafakari Uharari Wa yeye kumiliki kila kitu when I die...and when men die...wakati hakucoperate during struggle... HV wewe unaona ni sawa? umewah tafakar ukifa kwamba even your loverly the only Heroe mama yako aweza pigwa pin asionekane pako? Umewh tafakar ndg zako....after urnomore wataishije? Some women Ni Jipu!!!
Am sure kuna vitu mkeo anafanya ama ananunua ila unajifanya kama huoni look closely,,Wadau,wengi.. Mumekoment kiume kwl kwl,lakn hivi wanawake wameelewa swali muktadha ktk hoja hii? Mbona wanawake wako kimya hapa? Men wengi mumekoment vzr sana....wachache wameonyesha kulaumu....wanaoulaumu
Wamtafakari" Mwanamalundi"
Wakati mwingne Kw ndoa we stay silent Kwa ajili ya watoto....!! WAnawake nn mchango wenu...Kw hill LA mwanamke mwenzenu??? HV zile kitchen party za Gharama sana is what??!