Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

Alichofanya mk3o sio sahihi ingawa ilo ni jukumu la mwañaume..... Watoto ni wakwako walishe walipie ada na pia tuishi kwenye nyumba nzuri huo ndo uanaume na hata nkitaka kwenda saloon nguo mpya pia uhusike uondo uanaume ukisikia wanaume wanatenda miujiza ndo kama hivi..... Kama mwanamke anafanya kazi pesa yake acha asaidie kwao kama kuna shida coz ndo waliomsomesha atoe hapo nyumbani kama Mme wake amekwama basy yaani ela ya mkeo usiipigie mahesabu labda kama ulichangia elimu yake
Mjinga ww, nngekua karibu ungekula ngumi mbili za uso inaonyesha hujaelewa ww
 
Siyo sahihi mkuu,na hii hali nilishaishuhudia kutoka kwa Jamii mmoja niliyekuwa nimepanga naye Nyumba moja,yeye na Mkewe walikuwa Waalimu,yaani mpaka huruma,namna jamaa anavyohangaika hasa kipind cha katikati ya Mwez,Mkewe yeye ni kujipodoa tu hana mchango wowote katika familia yao,kwa ushauri wangu muambie ukwel kuhusu umuhimu wa kusaidiana na haupendezew na tabia hiyo,na kama anafanya kaz na hana mchango bora akae tu Nyumbani ili ijulikane hana hana kaz,na akikata achana naye huyo hakufai kabisa na ipo siku atakutesa ikitokea umeishiwa.
 
I just thanks God for my Smart911 Mengine...

Wacha nifunge domo langu

I thank God do be accepted by you mahondaw ... and i thank God to have you as my woman...
Hizo tabia mtoa mada alizoleta kuhusu mtu wake... wewe huna kabisa... you are lovely, caring and supportive... ni mimi ndiyo sipendagi ufanye chochote...
 
Alichofanya mk3o sio sahihi ingawa ilo ni jukumu la mwañaume..... Watoto ni wakwako walishe walipie ada na pia tuishi kwenye nyumba nzuri huo ndo uanaume na hata nkitaka kwenda saloon nguo mpya pia uhusike uondo uanaume ukisikia wanaume wanatenda miujiza ndo kama hivi..... Kama mwanamke anafanya kazi pesa yake acha asaidie kwao kama kuna shida coz ndo waliomsomesha atoe hapo nyumbani kama Mme wake amekwama basy yaani ela ya mkeo usiipigie mahesabu labda kama ulichangia elimu yake
Kwani mwanaume alisomeshwa na mizimu?
 
Hata siku moja usiipangie hela ya mwanamke matumizi.. Hela yake ni yake ila yako ni yake..!!
Kumbe nawe ni wale wale mkuu,kama hataki tusaidiane haina haja ya kuwa naye,nihangaike alafu mwisho wa siku tukiachana aseme tugawane mali!,ilhal zake alikuwa ananunua vipodoz,msuko wa gharama,Nguo za gharama na zngne anagawa kwa mashosti wake na hapo hapo anamiliki Simu ya gharama mi najibana natumia ya tochi,na bado anakupiga mizinga,hii hali kwa kwel Mungu aniepushe nayo Wakuu,kuna Wanaume wana taabu kwenye ndoa mpaka tunaogopa ambao hatujaoa maana itakuwa mada kesi hapo baadaye.
 
Kuna kitu anajivunia huyo...hasa kwamba huwezi muacha kwa sababu ya watoto au unampenda sana...Na usiombe ufilisike utaomba ardhi ipasuke...Me yalinikuta hayo...Nilikuwa mwajiriwa wa serikali na nilioa na tukajaaliwa watoto 2.ila nioaona ni bora nikajiendeleze tena kielimu,tukakubaliana.kwakuwa nilikuwa nimejichanga vya kutosha sikuhitaji financial sponsorship ya MTU..na nilikuwa na miradi yangu nikampa usimamizi me nikajikita na masomo..uzuri wenyewe nililipa ada yoote ya masomo kwa muda uliotakiwa na gharama zingine zoote including accommodation. Kazi ikaanza sasa..muongozo Woote niliompa ikawa ni ****'n ideas to her...ndani ya 18 months miradi imedrop for 80% ilifikia kipindi nakosa hadi 2000 ya kutia mb ili nisearch materials ya research yangu...Na ubaya zaidi niliopt kuacha kazi kwakuwa waliniambia km naenda kusoma watanifukuza nami nikaacha kabisa..ilifikia kipindi namuomba anitumie japo 5000 ili ninunue mb majibu ninayopewa hayafai kuyasema..mbaya pesa hakufuja kwa manufaa yake au ya watoto jambo lilipelekea hadi kuanza chuki na mwanawe wa kwanza ambaye alikuwa na miaka 9 at that time...
Nashukuru mungu nilimaliza na kurudi mtaani ila 8 month leter mambo yakawa magumu zaidi na stress zake zilizidi na maneno machafu ila nilikuwa namvumilia si kwa maana nampenda la kuna kitu nilikuwa nasubiri ili nami nimkomoe...ilifikia hatua hadi ndugu (wake/wangu) wangu wametukalisha vikao yeye anasema km yeye mwanaume aniache halafu nampotezea.
Ilipofikia mwaka Jana mwezi wa 8 mitego yangu ya niliyotega ikawa OK..miezi 3 mbele mambo yakawa mazuri Mara 10 ya kabla sijaenda masomoni ndio akaanza kurudisha mapenzi motomoto..ila me moyoni namvutia kasi tu.ilipofika mwezi 12 tarehe 31 mwaka Jana nikaita kikao cha familia nikawakumbusha historia then nikampa talaka Tatu zake na kila alichotaka wanangu Woote nikawachukua maana sikuwa tena na mapenzi nae...lakn yeye ndio kaumia sana maana mh hadi sumu alikunywa lakn kwa sasa stress free me na wanangu wanaenjoy life wanachokitaka wanapata at right time.
Ndio wanawake wa kiafrika walivyo,so fuckking selfish...Akiwa hana mtaishi kwa amani na atatumbua vyako kiroho safi ila ukiishiwa tu. Muombe yeye akupe sasa uone balaa lake! Atajinunisha wee mwisho wa siku unaona ya nini sasa. Au akikupa kwa masimango kweli!
 
wew c kichwa cha familia simamia show acha maneno
mnawasemaga wanawake hela zao hazionekani kisa tu mnanunua u nga 30kg, mchele na mafuta, ivi mnajua mboga zinazoliwa home daily ni costful kuliko huo mchele na unga umeacha buku 20 kwa wiki unakula sato/kuku mnavu wa Nazi unachekelea tu (unaijua bei ya Nazi) nyie mnaishiaga katoa hela za sikuku za nguo izo siku nyingine mnajuaga cost za izo nguo bei za viat vya watoto unaijua? mnaonaga ndani panapendezaa mapazia mazuri, mashuka, vitambaa , vyombo, vitu quality ivi mlishawah kuwauliza kwanini wanapendezesha nyumba au mkiambiwa mbadilishane majukumu mtakubali au kuweza kusimamia izo show za wanawake? na hapo bado anategemewa kwao wew kwenu mpaka msiba utokee ndo unatoa
 
Kaka unamlea tu chukua ATM umpangie matumizi kama Ngosha alivyofanya ununuzi was Bomba-dia.
 
Siyo sahihi mkuu,na hii hali nilishaishuhudia kutoka kwa Jamii mmoja niliyekuwa nimepanga naye Nyumba moja,yeye na Mkewe walikuwa Waalimu,yaani mpaka huruma,namna jamaa anavyohangaika hasa kipind cha katikati ya Mwez,Mkewe yeye ni kujipodoa tu hana mchango wowote katika familia yao,kwa ushauri wangu muambie ukwel kuhusu umuhimu wa kusaidiana na haupendezew na tabia hiyo,na kama anafanya kaz na hana mchango bora akae tu Nyumbani ili ijulikane hana hana kaz,na akikata achana naye huyo hakufai kabisa na ipo siku atakutesa ikitokea umeishiwa.
Amtese mara ngapi na alimsomesha namba kipindi yupo masomoni
 
Back
Top Bottom