Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

Wanawake bora wenye upendo na heshima ya hali ya juu ni wenye elimu ya juu ya L.Y yaani la saba,form 4 na six mwisho.akiwa na bachelor na ajira anaota mapembe hatawaliki na haambiliki
Kuna thread niliichapisha jana nikieleza jinsi maadili ya hawa watu yalivyo siku hizi. Nikaonekana mkoloni ila nimeongea ukweli halisi
 
Kuna kitu anajivunia huyo...hasa kwamba huwezi muacha kwa sababu ya watoto au unampenda sana...Na usiombe ufilisike utaomba ardhi ipasuke...Me yalinikuta hayo...Nilikuwa mwajiriwa wa serikali na nilioa na tukajaaliwa watoto 2.ila nioaona ni bora nikajiendeleze tena kielimu,tukakubaliana.kwakuwa nilikuwa nimejichanga vya kutosha sikuhitaji financial sponsorship ya MTU..na nilikuwa na miradi yangu nikampa usimamizi me nikajikita na masomo..uzuri wenyewe nililipa ada yoote ya masomo kwa muda uliotakiwa na gharama zingine zoote including accommodation. Kazi ikaanza sasa..muongozo Woote niliompa ikawa ni ****'n ideas to her...ndani ya 18 months miradi imedrop for 80% ilifikia kipindi nakosa hadi 2000 ya kutia mb ili nisearch materials ya research yangu...Na ubaya zaidi niliopt kuacha kazi kwakuwa waliniambia km naenda kusoma watanifukuza nami nikaacha kabisa..ilifikia kipindi namuomba anitumie japo 5000 ili ninunue mb majibu ninayopewa hayafai kuyasema..mbaya pesa hakufuja kwa manufaa yake au ya watoto jambo lilipelekea hadi kuanza chuki na mwanawe wa kwanza ambaye alikuwa na miaka 9 at that time...
Nashukuru mungu nilimaliza na kurudi mtaani ila 8 month leter mambo yakawa magumu zaidi na stress zake zilizidi na maneno machafu ila nilikuwa namvumilia si kwa maana nampenda la kuna kitu nilikuwa nasubiri ili nami nimkomoe...ilifikia hatua hadi ndugu (wake/wangu) wangu wametukalisha vikao yeye anasema km yeye mwanaume aniache halafu nampotezea.
Ilipofikia mwaka Jana mwezi wa 8 mitego yangu ya niliyotega ikawa OK..miezi 3 mbele mambo yakawa mazuri Mara 10 ya kabla sijaenda masomoni ndio akaanza kurudisha mapenzi motomoto..ila me moyoni namvutia kasi tu.ilipofika mwezi 12 tarehe 31 mwaka Jana nikaita kikao cha familia nikawakumbusha historia then nikampa talaka Tatu zake na kila alichotaka wanangu Woote nikawachukua maana sikuwa tena na mapenzi nae...lakn yeye ndio kaumia sana maana mh hadi sumu alikunywa lakn kwa sasa stress free me na wanangu wanaenjoy life wanachokitaka wanapata at right time.
Umetisha mkuu
 
me alikua hvyo hvyo siku moja nkamtolea uvivu japo sio mchoyo ila nligundua anajenga kwao anamjengea mama yake kitu ambacho cku mmind nilimpongeza
 
Nina mke na watoto wanne, mi ni mjasiliamali na make wangu ni mtumishi Wa umma..mshahara wake ni lak 9..Kwa kwl for 12 yrs....sjaona mchango Wa pesa..zake..,Umeme,Maji,kingamuz,chakula na ada za machalii...natoa Mimi tu....
Mwez ulopita nilmwambia bill ya Maji 23500 alipe. Hakulpa,mwz huu. .wamekuja kukata Maji..Nida!!! Kasema wakate tu...nmefk Hom taps locked.

Jamanni wanawake mlokazn,na wanaume mlooa workers je Kw ndoa zenu hili ni sahihi?!!sio unyonyaji huu Wa waziwazi?
Ulikosea mwanzoni Ndg yangu.Ulipaswa uweke wazi mambo haya kabla ya ndoa.
Ndoa ni kusaidiana.Huyu sasa mnasaidianaje?
 
Duh! Huyo mwanamke sio Mpare kweli? Embu tuambie kabila yake ili tujue kama ni ishu binafsi au ni tabia ya kurithi toka kwenye kabila lake...
 
Umemtengenezea wewe hayo maisha! Ata kama wanasema kua mwanaume hela ya mkeo haikuhusu, sikubaliani nalo kabisa! Ndio sio ustaarabu kumdai msharaha wake ila kama wanandoa inabidi mkae mjadili hali ya kifedha ya familia!

Kuna wengine wanaleta pesa zao pamoja na kupanga bajeti wote .... 5ena wanakua na joint account ambapo asilimia ya mshahara ya kila mmoja inaingia humo kwa matumizi ya familia.
Kuna wale ambao wanagawana majukumu!!! Labda matumizi mazito atayadhughulikia baba na madogo mama ndo anashughulikia.
 
Nina mke na watoto wanne, mi ni mjasiliamali na make wangu ni mtumishi Wa umma..mshahara wake ni lak 9..Kwa kwl for 12 yrs....sjaona mchango Wa pesa..zake..,Umeme,Maji,kingamuz,chakula na ada za machalii...natoa Mimi tu....
Mwez ulopita nilmwambia bill ya Maji 23500 alipe. Hakulpa,mwz huu. .wamekuja kukata Maji..Nida!!! Kasema wakate tu...nmefk Hom taps locked.

Jamanni wanawake mlokazn,na wanaume mlooa workers je Kw ndoa zenu hili ni sahihi?!!sio unyonyaji huu Wa waziwazi?
Bado hujajua majukumu yako kwenye ndoa, acha mkeo ale bata!!
 
HAKUNA WANAWAKE HEAD ACHE KAMA WALIOAJIRIWA NA WENYE VIELIMU,NIMEOWA WATATU,WA KWANZA ALIKUWA MWALIMU WA CHUO KIKUU,WA PILI DAKTARI,WA TATU MWALIMU WA SEKONDARI WOTE NI MA JIPU,SIJUI WANAFUGA MISUKULE?,NOW NINA MKE WA KAWAIDA TUU ANANISAIDIA BIASHARA ZANGU MUDA WOTE TUPO WOTE,UNAFUU WA MAISHA UPO SANA,HAO WALIOAJIRIWA HATA BIASHARA WENGI WAO KUSIMAMIA HAWAWEZI,AFU KIBURI KINGI MARA SIJUI MI MSOMI NA BLA BLA NYINGI,TAFUTA MKE MWINGINE MPAMBANE.FORM 4,6,au bachelor but asiwe mwajiriwa,ajiari au mjiajiri wote,au umlete akusaidie ku run miradi yako.
Bonge la ushauri..unajua wengi huwa wanajidanganya na kufikiri wakioa waajiriwa watapata unafuu wa maisha kumbe sivyo...
Mi mwenyewe nimejiajiri kamwe siwezi oa mwanamke mwajiriwa..atakuja tufanye wote biashara hakuna namna!!
 
Mwanamke ni kama movie unavyo ona kwenye tv anaweza kusuka 300,000/= mkuu na akapaka rangi kucha 50,000/= achana na hivyo viumbe
Hizi fedha ni za kwake sio zenu. Mkuu elewa hivyo.
 
Aisee unamapenzi mubashara na mkeo.

Kwangu formula ni moja. Tunagawana majukumu nini ni jukumu lake kununua na nini ni jukumu langu.

Kama hataki basi atalazimika kuchagua kati ya KAZI na NDOA.
 
Ana mvuto lakini isije ikawa na sura nayo alinyimwa kama anavyonyima pesa zake
 
Ndio za namna hii huwa zina migogoro mingi ndan yake ..,NA sababu kuu ni udhaifu wa mwanaume ....Nishashuhudia sana ndoa hizi NA Mara nyingi mwanamke anajihic anaweza kufanya chochote anachotaka akijua hakuna atakalofanywa.....
Na nafikiri ni jamaa amemuendekeza huyo mwanamke kwa kipind kirefu.. au kuna mambo mwanamke ambayo alifanya hayakuwa sahihi na huyu bwana akayanyamazia. Matokeo yake ni kuwa hii imegeuka kuwa tabia ya mwanamke na imeota miziz..
Kwangu mm ni kama too late jama kumaliza hili tatizo
 
Kuna kitu anajivunia huyo...hasa kwamba huwezi muacha kwa sababu ya watoto au unampenda sana...Na usiombe ufilisike utaomba ardhi ipasuke...Me yalinikuta hayo...Nilikuwa mwajiriwa wa serikali na nilioa na tukajaaliwa watoto 2.ila nioaona ni bora nikajiendeleze tena kielimu,tukakubaliana.kwakuwa nilikuwa nimejichanga vya kutosha sikuhitaji financial sponsorship ya MTU..na nilikuwa na miradi yangu nikampa usimamizi me nikajikita na masomo..uzuri wenyewe nililipa ada yoote ya masomo kwa muda uliotakiwa na gharama zingine zoote including accommodation. Kazi ikaanza sasa..muongozo Woote niliompa ikawa ni ****'n ideas to her...ndani ya 18 months miradi imedrop for 80% ilifikia kipindi nakosa hadi 2000 ya kutia mb ili nisearch materials ya research yangu...Na ubaya zaidi niliopt kuacha kazi kwakuwa waliniambia km naenda kusoma watanifukuza nami nikaacha kabisa..ilifikia kipindi namuomba anitumie japo 5000 ili ninunue mb majibu ninayopewa hayafai kuyasema..mbaya pesa hakufuja kwa manufaa yake au ya watoto jambo lilipelekea hadi kuanza chuki na mwanawe wa kwanza ambaye alikuwa na miaka 9 at that time...
Nashukuru mungu nilimaliza na kurudi mtaani ila 8 month leter mambo yakawa magumu zaidi na stress zake zilizidi na maneno machafu ila nilikuwa namvumilia si kwa maana nampenda la kuna kitu nilikuwa nasubiri ili nami nimkomoe...ilifikia hatua hadi ndugu (wake/wangu) wangu wametukalisha vikao yeye anasema km yeye mwanaume aniache halafu nampotezea.
Ilipofikia mwaka Jana mwezi wa 8 mitego yangu ya niliyotega ikawa OK..miezi 3 mbele mambo yakawa mazuri Mara 10 ya kabla sijaenda masomoni ndio akaanza kurudisha mapenzi motomoto..ila me moyoni namvutia kasi tu.ilipofika mwezi 12 tarehe 31 mwaka Jana nikaita kikao cha familia nikawakumbusha historia then nikampa talaka Tatu zake na kila alichotaka wanangu Woote nikawachukua maana sikuwa tena na mapenzi nae...lakn yeye ndio kaumia sana maana mh hadi sumu alikunywa lakn kwa sasa stress free me na wanangu wanaenjoy life wanachokitaka wanapata at right time.
Dah yani hawa viumbe 99 kati ya 100 ni hewa kabisa
 
Dah yani hawa viumbe 99 kati ya 100 ni hewa kabisa
Upo sahihi kabisa.Usimchukulie negative mwanaume ambaye hamshirikishi Mkewe katika miradi yake hujui alikumbwa na nn.Kwa sasa nahisi mtu sahihi wa kumshirikisha ktk mambo yangu ni Mwanangu tu japo ni mdogo lakin nadhani ni mwanzo mzuri kwangu ili nae nduguye anavyokua awe anampa mwongozo...Wakiharibu itakula kwao kwakuwa itakuwa wameshakula urithi wao tyr
 
Wote mtako-comment tofauti na alichowasilisha mtoa mada, kuna mambo mawili ya msingi hapa
Either
1. You dont know women

Or

2. You are not married.

In brevity,
images

images

images

Back
Top Bottom