moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,303
- 1,530
Bado mi nakuwa na dukuduku hapa...
Wakati tunaoana au kabla (kama tulianza mapema), ilikuwa 'ordinary' sex... Then miaka miwili baadaye, anasema anataka sijui 69, sijui lap dance, sijui strip nini, na mambo mengine kibaao... swali linaweza kufuata ni ...mh, umejifunzia wapi yote haya?!... Familia nyingi zimetulea tukiamini kuwa kutazama filamu za ngono ni dhambi, kuongelea ngono na watu wengine ni dhambi n.k. Wakati watu wanaoana, kila mtu anakuwa hataki amuonyeshe mwenzie alikuwa anafanya 'dhambi' hizo. Au hakuna mtu anataka mwenzie ajue kuwa ofisini ana CDs za X anazoangalia 'kisiri', na washkaji au na secretary. So, kudemand vitu vpya ndoani, is some kind of a risk..
Upo sawa kiasi flan hasa ki-mapokeo, ila kumbuka hakuna chuo au certificate ya best perfamance ya tendo la ndoa.
Nimejiita mwalimu na wangu Preta nikamwita kocha! Lengo ni kujenga taswira nzima ya umuhimu wa kufundishana yale ambayo mnaona yanadescribe best performance na satisfaction ya tendo la ndoa. Mjue hakuna anayefundishwa toka huko atokako, sharti mmoja awe kocha na mwingine mwalimu ili mambo yaende sawa, ni upuuzi kujifanya mjuzi nje wakati kwako kunadoda! If u don do it, others will do it 4 u!! Imajini, unamlisha, unamvalisha, unampamba unampigisha gold, halafu wenzako waoneshe ufundi kwenye kiwanja chako, lazima utakuwa *****!!!
Hayo ya kuogopa kuulizwa ni ya kizamani, mi nkipata BLUE kali, kwanza natabasamu, navuta pumzi namshika mkono Preta wangu, naendanae kwa chumba, nawasha deki na tv, then naweka hako ka blue, pazuri nastop, tunapractise tukiweza tunaenda next episode. Mbona Preta mi hajawahi nikoromea! tena juzi tu yeye ndo alikuja na moja ya kibongo bongo wala sijamkoromea! Nakupenda Preta