snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
unajua iko hivi........haya mambo ya nini ufanye nini kinakuridhisha na nini usifanye au hakimridhishi mwenzio huwa haiji siku moja tu hivi pap!no!ni blend ya mambo mengi sanana hayo yoote yalianza day one ya ndoa au after years ulijifunza vitu vipya?
1.trust
vile unavyozidi kumuamini mwenzio ndivyo unavyozidi kujiachia kihisia huwezi kuwa na mtu usiye muamini ukabwaga mwili wako aufanye anachotaka
2.confidence
kuhiachia kihisia kunakwenda na kujiamini wewe mwenyewe na kuamini mwenzio anavutiwa nawe,kwa mfano huwezi kuwa free kufanya 69 kama hujiamini maumbile yako,huwezi kufanya stripping kama unajihisi humvutii mwenzio kingono,one has to be confident kuweza kuvua pichu yake na bra mbele ya mpenzi wake,as yu stripping inatakiwa kuwa kwa pooouuz sio sha sha pichu chini ushaingia kwenye shuka !
3.knowing the partner
hili nalo ni la muhimu sana kwenye field,mtu kujiachia kihisia kiasi cha kuridhika na kuridhisha mwenzi kunaletwa pia na kufahamu aina ya mwenzi uliyenaye,na hili ni kujuana ndani kabisa!yan not the thing ya huyu jina lake amina au huyu jina lake said,its more than that,kumjua mtu wako kunakupa fursa ya kujua anapenda nini,nini ufanye akuone wewe ni starehe nini ufanye akuone we ndo kidume,sasa hili haliji kwe kufika tu kwa bed na kuanza kufanya lile tendo,no!
4.knowing ur pontentiality
unajua nini,kipi unakimudu zaidi,kipi ndicho uwezo wako kwa kiasi kikubwa,kipi unaamini unakifanya kwa umakini na hujawahi kujisikia mnyonge kukitumia.huli nalo la msingi sana so nalo huwezi kuliapply the very day umeanza kujua huyo mtu ana kovu chini ya takkooz,mwanzo laweza kuwa nimelitest tu then akinogewa ndo unalitumia kama silaha ya maangamizi,if it by rubbing the gap ndo mtu anakuona uko vizuri why not applying it wen necessary?
5.creativity and productivity
love making kwangu ni biashara i see,(i mean business wen dwin it)mi maswala ya utani kazini sipendi!ni biashara ile na lazima inilipe!sifanyi bishara nikijua ina hasara,sifanyi biashara nikijua mazingira ya duka hayavutii mteja,sifanyi biashara ya bidhaa ile ile kila siku,sifanyi biashara ambayo mteja anajua akikosa kwangu kuna duka lingine linauza,nafanya biashara ambayo na mteja wangu anajua bidhaa hiyo it is me who knows how to pack it well,it is i who give a bonus,it is i who share the profit,it is i who provides a good customer care,it is i who never sells the goods to other customers,it is i who never compromise with the quality of the product!
so yote haya hayakuja siku moja kwa kweli it took me miaka kibao kufika hapa kihisia!