Mke ni 'kiburudisho cha mume'? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke ni 'kiburudisho cha mume'?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Oct 1, 2012.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Leo nimeona tuzungumze kitu hiki ambacho nimekiona mahala..

  Wanawake weengi wanasema au wanataka waume zao wa demand na kupewa 'mahitaji yoote' ya sex na burudani za kingono kutoka kwa wake zao...

  Utasikia wanawake wakisema 'nitakupa au kukufanyia chochote utakacho' au uutasikia wakisema 'si mwambie au mfundishe mkeo ili akuridhishe'....

  Sasa kwa wanaume weengi mara nyiingi huwezi sikia 'wakiwazungumzia wake zao' ki 'burudani zaidi' most of time mke atazungumzwa 'kiheshima' na kama kuna mazungumzo ya 'burudani za kingono' mostly utasikia wanaume wanataja 'vifaa vya pembeni' kama reference...

  Sasa hapa ndo nilipoona kuna kitu cha kujadili.......au kuulizana maswali yangu yako hivi kwa wanaume na wanawake wa JF....

  Kwa wanaume:
  1. Mke unaona ni sahihi kuwa na uhuru wa burudani kwenye sex?
  2. Mke anatakiwa kukupa burudani zoote utakazo hitaji? wild sex? anything on the menu?
  3. Mstari wa kumheshimu mkeo na hapo hapo alkuburudishe kisawa sawa ukoje?
  4. Je, kuna vitu kwa mkeo ni marufuku lakini kwa pembeni ni fair game?

  Kwa wanawake
  1. Mke unatakiwa kumpa burudani yeyote atakayohitaji mumeo ili aridhike?
  2. Mstari wa yeye kukuheshimu na still umpe burudani atayotaka uko vipi?
  3. Unafikiri mke na mume 'wawe na mipaka kwenye sex'? ipi hiyoo?

  Je, kama mumeo 'anatoka nje kutafuta burudani' ambayo wewe 'anakuheshimu sana' hataki umpe utapenda kutatua tatizo hilo vipi? Ufundishwe uweze?

  Baadhi ya burudani ambazo watu huzitafuta lakini unaweza kukuta kwa mke hawezi demand
  1. Lap dance
  2. Striping n tease
  3. Threesome..
  4. Sex on the beach, public spaces n.k...
  5. Na nyingine mtakazoziongezea...

  Karibuni......
   
 2. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yaani kwanza ni marufuku mke wangu kulala na nguo.
  Yes, ni sahihi kuwa na uhuru wa burudani kwenye sex, sipendi aniletee kauzibe au mizengwe yoyote, napenda aniachie mwili wake wote nijivinjari kwa raha zangu kila nipatapo ashki.
  Anipe burudani zote nitakazo hitaji hilo ni jukumu lake kama mke wangu.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280

  wewe ukiwa na mkeo 'hakuna mipaka'?
  everything is on the menu?
   
 4. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haswaa! hapaswi kuniwekea kikwazo chochote.
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wanawake wa uswahilini ndiyo wanatamka maneno hayo (eti nitakupa kila kitu) ,kwao wanaamini kitu cha maana cha kumpa mwanamme ili ampende ni K
   
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Mi ngoja nipite zangu maana ni mke vs mume, na nyumba ndogo, mimi nipo neither of the above!!!! Nikisema chochote tu LAZIMA ITIFAKI itakumbushiwa, ngoja niwe mtazamaji na MBONYEZA LIKES!!!!!!
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Ni pambo la nyumba
   
 8. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Inasemekana kama mwanaume si mlevi wa pombe wala sigara basi ulevi wake utakuwa ni K, hivyo K ni kiburudisho murua cha kumliwaza mwanaume hata anapokuwa na msongo wa mawazo.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wanawake wengine husema 'mambo hayo kawafanyie ma.laya zako huko'
  umenipata?
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  kwani wana tofauti gani na wanamme?

  Wanamme nao hudhani B ndio zawadi kuu ya ushindi duniani.

  Kukiwa na kamtafaurku kidogo tu, mkisuluhisha unazawadiwa.

  Mule mule wake kwa waume.

   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wewe unataka waume za watu waridhishwe na wake zao?
  au wawe na 'heshima na wake zao'?
  lol vingine waende kwa kina lara1?
   
 12. N

  Neylu JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nadhani huu uzi ni mahsusi kwa walio kwenye ndoa... Mie ngoja niondoe kiwingu..!
   
 13. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  nice mada The Boss ...
  it really differs from couple to couple. inategemea mazoea yenu. zipo couples ambazo mahusiano yao yako kimissionary sana na zingine ambazo mahusiano yao yapo kivegas. from "missionary" to "vegas" tunaweza kuchora graph. in other words couples range in that line. wapo wanawake ambao kuwapa waume zao b**w job ni "kukosewa heshima" so wanaume wanaitafuta hiyo service elsewhere wakati kwa couple zingine wife anaweza toa hiyo service ndani ya gari...so it all depends.

  vilevile hutegemea shared exposure na social environment ya couple husika...kwa wengine sex on the beach ni okay...kwa wengine even a peck kwenye kadamnasi ya familia is a big NO.

  wengine wanawekeana stripping polls ndani ya master zao ila kwa mazingira yetu I'm not very sure...ila kama watu wana exposure hiyo na wanakubaliana, y not?

  kwa wengine marriage has some degree of fun, kwa wengine marriage has less fun more rigidness (sijui niiweke hivyo) so lazima watofautiane....

  ambalo mie naliona SIO SAWA hata mtu aniconvince vipi, ni sodomy coz hiyo ni DHAMBI!

  huo ndiyo uelewa wangu, i stand to be corrected...
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hutakiwi kuyajua na kuchangia yaliyo kwenye ndoa mpaka uingie?
   
 15. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tendo la ndoa ni burudani kwa kila mmoja wetu na kila lifanywapo tunategemea kila mmoja kulifurahia.
  Vitendo wanavyofanyiwa malaya ni vya kinyama na kuudhalilisha utu wa mwanamke.
  Nami Nampenda sana mke wangu na ninamuheshimu sana siwezi kumfanyia kitu ambacho hata kifurahia.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Everything should be on the menu except 'fornication', which should be decided well ahead of the relationship. Mfano, kwangu mimi fornocation ni pamoja na 'tigo' na threesome.
  Hiyo threesome is very unfair kwa wanawake jamani. Hivi bossman, mkeo akisema mfanye threesome na boss wake mwanaume utakubali?
   
 17. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Kwangu nafasi ya mume wa mtu hamnaaaa! Sitaki stress za ada ya mtoto sijui, wakwe wanahitaji nauli waje, harusi ya shemeji blah! blah! blah! achia mbali risk ya kuchanwa chanwa na VIWEMBE mkifumaniwa chobingo!!!!!! Mi wangu VIJANA wasio na majukumu na Pesa ya ziada ipo ikiningoja niitumie.

  Kuhusu kuwafurahisha na kuwaridhisha Wake zao ni haki kwa kweli, ukizingatia baada ya uzazi, SEXY SHAPE KUSHNEY BABUJ, Tambi tambi, nido saa nane kasorobo ya usiku, they have sacrifised a lot to start a family with you, so its fare n square UMPE EXTRA LOVE, CARE N RESPECT, Hata kama viwango vyake kwenye 6 by 6 ni F umuangalie mwanao na kumshukuru mamushka (shughuli ile ya kuleta kiumbe ni balaaaa! Nusu ya kufa)

  Sio mkeo akizaa, shepu kushney unaanza kumkwepa kutoka nae out!

  Mimi mume wa mtu hata iweje simpi KIDUDE for the sake of the wife!!!! Ila pesa yake naila mtanisamehe kwa hilo!.
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Thanx kwa mchango
  umeelewa mno mada yangu

  sasa swali hapa ni hili......'mke anatosha kuwa burudani kwa mume'?
   
 19. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  ...kwenye list yako (b4 I forget), namba 3 (threesome), niseme ukweli tu....binafsi bado sijakubaliana nayo...yaani a man, his wife wake na mwanamke mwingine?? bado bado :nono:
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  tatizo la wanandoa kuogopana. What is wrong with a nice bj, lap dance ama strip tease with your hazbend? Tunarudi.kule.kwenye 'shkamoo mume wangu'. Baada ya shkamoo kuna lapdance kweli? Im seriously considering kuweka strip pole in my bedroom,lol
   
Loading...