Mke ni 'kiburudisho cha mume'?

Mke ni 'kiburudisho cha mume'?

he hee hee inabidi Dark City aje hapa aisee

mimi kokote ugenini.including ukweni
napenda iwe old fashion
ikiwezekana asihisi mtu
let alone watu kujua lol

Kaka ukweni hapana....tutasubiri hadi turudi kwenye uwanja wetu wa kujidai!!

Babu DC!!
 
huyu hapa.

Wewe sikuwezi.....Hivi umesema package yote kwenye post No.1 unaweza kujaribu au sijakusoma vizuri??

Babu DC!!

mie naweza zote except sodomy na 3some.
babu DC yaani kweli unanivulia kofia lol!
 
Kaka ukweni hapana....tutasubiri hadi turudi kwenye uwanja wetu wa kujidai!!

Babu DC!!

Exactly kaka
kumbe tumeshazeeka kaka aisee lol
sikujua kuna wadada hii ina wa turn on that much lol
ndo maana nikasema kuna mengi yakuzungumza
 
mmh! sasa inamaan ukweni unamuacha bibi alale na wadogo zake? me baba yangu anakufukuza tena ndo anakuondoa mapema ukalale na mumeo na asbh mama anakukumbusha kumtengea mumeo maji ya kuoga. tena hata mkienda kuoga wawili yaani wanaona kawaida tu manake kama wamekuozesha what else wanachojua unafanya?
 
huyu hapa.

mie naweza zote except sodomy na 3some.
babu DC yaani kweli unanivulia kofia lol!

Hahahahahahaha.....wewe ni mkali sana.. gfsonwin,

Siyo kofia tu...nabakiza vile tu ambavyo siwezi kuweka wazi mbele ya public...lol!!

Sasa hizo nyingine huwa unafanya au uko tayari kujaribu? Na huombwa au wewe mwenyewe tu kwa utundu wako una-improvise?

Uko tayari kudownload a new package? Na huogopi kuulizwa ulikoitoa??

Sorry kwa maswali mengi...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Exactly kaka
kumbe tumeshazeeka kaka aisee lol
sikujua kuna wadada hii ina wa turn on that much lol
ndo maana nikasema kuna mengi yakuzungumza

sasa ukitaka heshima ukweli mpige wife mpera ukweni(kikeni). yaaani ni game moja matata sana tu.
kwani ukienda na mkeo ukweni(kiumeni) mnatengana vyumba?
 
Kweli mkuu....

Nahofia kujikuta natia aibu kwa wakwe...Utafanyaje kazi ambayo huna hakika kama utaweza kui-execute vizuri?

Hiivi hata huko ukweni unaweza kuruhusu ile milio kama ya nguruwe anakula miwa kweli wakati unajua Baba mkwe anaweza akawa hajalala?? Sidhani kama nitakuwa kuhuru ku-exploit my full potential....bora tuahirishe mechi kwa kweli!!

Halafu unajua nini...Kuna mtu alinambia kuwa ukiwa mahali na watu ambao unajua watafanya ngono lazima mwanamume hutaweza kulala hadi usikie ama mabao yamefungwa au hakuna kukuru kakara zozote....Sasa baba mkwe hawezi kuwa anasubiri??

Sitakie kuuza data mie!

Babu DC!!
 
mmh! sasa inamaan ukweni unamuacha bibi alale na wadogo zake? me baba yangu anakufukuza tena ndo anakuondoa mapema ukalale na mumeo na asbh mama anakukumbusha kumtengea mumeo maji ya kuoga. tena hata mkienda kuoga wawili yaani wanaona kawaida tu manake kama wamekuozesha what else wanachojua unafanya?

Kwani ukilala na mtu lazima mtafunane (umchape mpera)??

Babu DC!!
 
Hahahahahahaha.....wewe ni mkali sana.. gfsonwin,

Siyo kofia tu...nabakiza vile tu ambavyo siwezi kuweka wazi mbele ya public...lol!!

Sasa hizo nyingine huwa unafanya au uko tayari kujaribu? Na huombwa au wewe mwenyewe tu kwa utundu wako una-improvise?

Uko tayari kudownload a new package? Na huogopi kuulizwa ulikoitoa??

Sorry kwa maswali mengi...

Babu DC!!

kwanza kabisa babu mie na Gy wangu hatuogopani, na kwetu wawili kunako 6*6 nidhamu ama heshima haijawah kupotea njia. huwa ubunifu ni lazima manake kwangu tendo la ndoa ni product na ili iwe na soko basi shurti iongezewe thamani kwa namna yyte ile. ni mimi ambaye natakiwa kuifanya bidhaa hii ipendeke na ni mimi nipaswaye kuifanya ivutie kadhalika ni mimi natakiwa kuifanya inipe raha kwa kupata soko zuri lenye mteja mzuri ajuaye kuitumia ipasavyo.

bidhaa yangu haingalii mazingira bali utayari na nafasi ya kuitumia kwa wakati huo. ngoja nikwambie nikitaka kusafiri na hubby kwenda mbeya labda tuwe na mtu mwingine kwenye gari vinginevyo lazima nisafiri na chupi tu na kikoi tunyegeshane tupaki gari nipigwe mpera kisha tuendelee. hiyo haina ubish na ni tamu balaa.
 
sasa ukitaka heshima ukweli mpige wife mpera ukweni(kikeni). yaaani ni game moja matata sana tu.
kwani ukienda na mkeo ukweni(kiumeni) mnatengana vyumba?

Duuuuuuuuhhhhhhhhh.....hii sasa ni mpya kwangu??

I wish I still had teeth.....

Hivi unasema kuwa lazima mechi ipigwe hata kama chumba hakina ceiling kweli??

Mie naona nitapata uyabisi fulani...nitaona kama napiga game kwenye public!!

Babu DC!!
 
Kweli mkuu....

Nahofia kujikuta natia aibu kwa wakwe...Utafanyaje kazi ambayo huna hakika kama utaweza kui-execute vizuri?

Hiivi hata huko ukweni unaweza kuruhusu ile milio kama ya nguruwe anakula miwa kweli wakati unajua Baba mkwe anaweza akawa hajalala?? Sidhani kama nitakuwa kuhuru ku-exploit my full potential....bora tuahirishe mechi kwa kweli!!

Halafu unajua nini...Kuna mtu alinambia kuwa ukiwa mahali na watu ambao unajua watafanya ngono lazima mwanamume hutaweza kulala hadi usikie ama mabao yamefungwa au hakuna kukuru kakara zozote....Sasa baba mkwe hawezi kuwa anasubiri??

Sitakie kuuza data mie!

Babu DC!!

Halafu vitu vidoogo kama hivi
unaweza shuka mno ukweni
mfano umejifanya mjuaji na kupiga game
watu wakasikiliza wakaona ahh kumbe dakika mbili tu lol
bora uuchune wasijue timbwili lako
na wakwe wengine hu notice vitu vidogo vidogo for future reference
hujui watatumiaje hiyo infos mambo yakianza migogoro na wewe unataka wakusaidie lol
 
Hivi Kaka ukipata binti alieolewa na mwanao
kama gfsonwin na amekuja kwako na mambo kama hivi
itakuwaje?

Kwanza ni vizuri kuhakikisha wanatumia room ambayo iko mbali sana na bed room kwangu!!

Na kama nyumba haina ceiling, basi next time nawapeleka nyumba ya wageni!!

Na ukute binti anapiga kelele kama vile anachinjwa??? Mhhhh...sitaki mie kwani mama anaweza kwenda kuwaamsha wadogo zake wakampatie huduma ya kwanza!!

Hizo kesi zote za nini??

Babu DC!!
 
Kweli mkuu....

Nahofia kujikuta natia aibu kwa wakwe...Utafanyaje kazi ambayo huna hakika kama utaweza kui-execute vizuri?

Hiivi hata huko ukweni unaweza kuruhusu ile milio kama ya nguruwe anakula miwa kweli wakati unajua Baba mkwe anaweza akawa hajalala?? Sidhani kama nitakuwa kuhuru ku-exploit my full potential....bora tuahirishe mechi kwa kweli!!

Halafu unajua nini...Kuna mtu alinambia kuwa ukiwa mahali na watu ambao unajua watafanya ngono lazima mwanamume hutaweza kulala hadi usikie ama mabao yamefungwa au hakuna kukuru kakara zozote....Sasa baba mkwe hawezi kuwa anasubiri??

Sitakie kuuza data mie!

Babu DC!!

hapana kwa familia nyingi hasa za kijijini nyumba ya wageni huwa mbali na nyumba wanayolala familia na bahati ndivyo nilivyozoea. chumban kwa baba ni mbali sana na chumba ninacholala na hubby tena ni cha nje so kina privacy ya kutosha na hata kama ni kwenye nyumba kubwa haviwez kuwa sambamba na cha baba bana lazima kitakuwa mbali kidogo ili uwe huru.

kwani babu what is the difference kama utalala chumba kimoja na bibi kisha usimrushe maji na ukamrusha maji? naamin kimatendo hakuna tofauti bali kihali za chumban ndipo ilipo. so na hakuna wakuprove hilo zaid yako wewe na mkeo so mkido msido wanaweza kuassume lolote lile na si kosa lako.
 
Halafu vitu vidoogo kama hivi
unaweza shuka mno ukweni
mfano umejifanya mjuaji na kupiga game
watu wakasikiliza wakaona ahh kumbe dakika mbili tu lol
bora uuchune wasijue timbwili lako
na wakwe wengine hu notice vitu vidogo vidogo for future reference
hujui watatumiaje hiyo infos mambo yakianza migogoro na wewe unataka wakusaidie lol

labda awe mkwe wa kizaramo ila sie wabara full nidhamu tena ukiwa chumban hata mama hakuiti.

hapa ni kwamba chumba kinakuwa mbali na chumba ama sebule pia kwa wale wenye uwezo ni full kipupwe mbafu humo humo ndani na kila kitu so ukiamka humpitii baba na janaba. lol
 
hapana kwa familia nyingi hasa za kijijini nyumba ya wageni huwa mbali na nyumba wanayolala familia na bahati ndivyo nilivyozoea. chumban kwa baba ni mbali sana na chumba ninacholala na hubby tena ni cha nje so kina privacy ya kutosha na hata kama ni kwenye nyumba kubwa haviwez kuwa sambamba na cha baba bana lazima kitakuwa mbali kidogo ili uwe huru.

kwani babu what is the difference kama utalala chumba kimoja na bibi kisha usimrushe maji na ukamrusha maji? naamin kimatendo hakuna tofauti bali kihali za chumban ndipo ilipo. so na hakuna wakuprove hilo zaid yako wewe na mkeo so mkido msido wanaweza kuassume lolote lile na si kosa lako.

Hapo naomba nikubishie...vile vibibi vyetu vya zamani vilikuwa kama vichawi....hata ukimtiwa switch kidogo na kumwacha vilikuwa vinajua tu,..sembuse umtwange full dozi??

Kama nyumba zenyewe ziko hivyo ni sawa ila wengine tumezoea kutumia nyumba moja familia nzima na hakuna ceiling!!

Babu DC!!
 
Huu mpera wa ukweni Dark City umeukubali?
Manake kuna amsha zingine unaweza zifanya ...asubuhi wakwe wakawa wanakushangaa..
Ila mwalimu gfsonwin kanifurahisha anaposema mechi ya ugenini kama nyumbani..na inanoga usipime!
Au The Boss unasemaje pale wakwe wanapokuwa wamewatengea na chumba kabisa..
Na hili kuua soo baba mkwe anawaaga mapema tu..wanangu mkalale mmechoka........
Akili inakuwa inajua mzee ananipiga mchango wa macho hapa...lol
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuuhhhhhhhhh.....hii sasa ni mpya kwangu??

I wish I still had teeth.....

Hivi unasema kuwa lazima mechi ipigwe hata kama chumba hakina ceiling kweli??

Mie naona nitapata uyabisi fulani...nitaona kama napiga game kwenye public!!

Babu DC!!

sijasema hivyo ila mie naongelea sehem ambapo nyumba ina privacy. lakin pia kuna nyingine hazina ila ukuta umepanda hadi juu kabisa so ni ngumu kwa upande wa pili kuelewa kinachoendelea. yaani basi mie sion tabu sijui ama ninamatatizo enh?
 
kwanza kabisa babu mie na Gy wangu hatuogopani, na kwetu wawili kunako 6*6 nidhamu ama heshima haijawah kupotea njia. huwa ubunifu ni lazima manake kwangu tendo la ndoa ni product na ili iwe na soko basi shurti iongezewe thamani kwa namna yyte ile. ni mimi ambaye natakiwa kuifanya bidhaa hii ipendeke na ni mimi nipaswaye kuifanya ivutie kadhalika ni mimi natakiwa kuifanya inipe raha kwa kupata soko zuri lenye mteja mzuri ajuaye kuitumia ipasavyo.

bidhaa yangu haingalii mazingira bali utayari na nafasi ya kuitumia kwa wakati huo. ngoja nikwambie nikitaka kusafiri na hubby kwenda mbeya labda tuwe na mtu mwingine kwenye gari vinginevyo lazima nisafiri na chupi tu na kikoi tunyegeshane tupaki gari nipigwe mpera kisha tuendelee. hiyo haina ubish na ni tamu balaa.

Story zako zinanifanya nishangae sana...

Uzoefu wangu ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya fanya haya mambo.....

Labda wewe umebarikiwa kiaina!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom