Mke ni 'kiburudisho cha mume'?

Mke ni 'kiburudisho cha mume'?

Hapo naomba nikubishie...vile vibibi vyetu vya zamani vilikuwa kama vichawi....hata ukimtiwa switch kidogo na kumwacha vilikuwa vinajua tu,..sembuse umtwange full dozi??

Kama nyumba zenyewe ziko hivyo ni sawa ila wengine tumezoea kutumia nyumba moja familia nzima na hakuna ceiling!!

Babu DC!!

Vibabu vingine asubuhi tu vinatazama macho na kusoma kila kitu lol
 
Hapo naomba nikubishie...vile vibibi vyetu vya zamani vilikuwa kama vichawi....hata ukimtiwa switch kidogo na kumwacha vilikuwa vinajua tu,..sembuse umtwange full dozi??

Kama nyumba zenyewe ziko hivyo ni sawa ila wengine tumezoea kutumia nyumba moja familia nzima na hakuna ceiling!!

Babu DC!!

aisee so long as mnaingia rum moja kulala hakuna tofauti na kimsingi ndivyo wakwe zako wanavyotazamia ila sasa wewe binafsi ndo huna hiyo konfo basi. siamin toka uoe hujawah kupiga mpera ukweni unless kama huwa hamwendi mara kwa mara.
 
Huu mpera wa ukweni Dark City umeukubali?
Manake kuna amsha zingine unaweza zifanya ...asubuhi wakwe wakawa wanakushangaa..
Ila mwalimu gfsonwin kanifurahisha anaposema mechi ya ugenini kama nyumbani..na inanoga usipime!
Au The Boss unasemaje pale wakwe wanapokuwa wamewatengea na chumba kabisa..
Na hili kuua soo baba mkwe anawaaga mapema tu..wanangu mkalale mmechoka........
Akili inakuwa inajua mzee ananipiga mchango wa macho hapa...lol

Kama mazingira ya ukweni ni mazuri na privacy ni maximu sitajali, vinginevyo tuta-starve hata kama ni mwezi mzima!!

Babu DC!!
 
Huu mpera wa ukweni Dark City umeukubali?
Manake kuna amsha zingine unaweza zifanya ...asubuhi wakwe wakawa wanakushangaa..
Ila mwalimu gfsonwin kanifurahisha anaposema mechi ya ugenini kama nyumbani..na inanoga usipime!
Au The Boss unasemaje pale wakwe wanapokuwa wamewatengea na chumba kabisa..
Na hili kuua soo baba mkwe anawaaga mapema tu..wanangu mkalale mmechoka........
Akili inakuwa inajua mzee ananipiga mchango wa macho hapa...lol

Ukweni kuna mambo mkuu
ndo maana DC anashauru ukweni ni kuuchuna tu
usioneshe unajua
huwezi jua ni mtego upi umepewa lol
 
Story zako zinanifanya nishangae sana...

Uzoefu wangu ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya fanya haya mambo.....

Labda wewe umebarikiwa kiaina!!

Babu DC!!
mmh! si kweli ila wanajivunga wakute ndani ya 18 utaamini.
usiogope mie napenda sana kufanya ila kwa nimpendae naliye wangu na hili halina ubish.
 
Huu mpera wa ukweni Dark City umeukubali?
Manake kuna amsha zingine unaweza zifanya ...asubuhi wakwe wakawa wanakushangaa..
Ila mwalimu gfsonwin kanifurahisha anaposema mechi ya ugenini kama nyumbani..na inanoga usipime!
Au The Boss unasemaje pale wakwe wanapokuwa wamewatengea na chumba kabisa..
Na hili kuua soo baba mkwe anawaaga mapema tu..wanangu mkalale mmechoka........
Akili inakuwa inajua mzee ananipiga mchango wa macho hapa...lol
kwani kaka mkubwa SnowBall wewe unaafiki mpera wa ukweni?
 
Last edited by a moderator:
aisee so long as mnaingia rum moja kulala hakuna tofauti na kimsingi ndivyo wakwe zako wanavyotazamia ila sasa wewe binafsi ndo huna hiyo konfo basi. siamin toka uoe hujawah kupiga mpera ukweni unless kama huwa hamwendi mara kwa mara.

Unajua nini gfsonwin,

Tunatofautiana sana tunavyochukulia ukweni na wakwe...Kwangu mie kule napaheshimu kama nini sijui!!

Hata kuongea kwenye ukweni mtu unachambua maneno ya kuongea, iweje upate ujasiri wa kupiga mechi??

Mie siwezi kabisa!

Babu DC!!!
 
Last edited by a moderator:
kwani kaka mkubwa SnowBall wewe unaafiki mpera wa ukweni?

Integemea aisee siwezi hapa kukupa jibu la moja moja..
Japo tukiendaga wanatujengea mazingira ya kuwa pamoja..but siwezi kujiachia kama ninavokuwa anfield..
Kikubwa kama alivosema Dark City ninapima privacy ilivokaa na issues za kujiachia si unajua zinataka nafasi...
 
Last edited by a moderator:
Unajua nini gfsonwin,

Tunatofautiana sana tunavyochukulia ukweni na wakwe...Kwangu mie kule napaheshimu kama nini sijui!!

Hata kuongea kwenye ukweni mtu unachambua maneno ya kuongea, iweje upate ujasiri wa kupiga mechi??

Mie siwezi kabisa!

Babu DC!!!

jamani sifanyii upenuni nafanyia chumban asiponiona mtu yyte, sasa nimekuuliza hivi kama nitaingia na hubby rum nisifanye nania anajua kwamba sijafanya? ishu tu ni kumaintain ile heshima na huwez ukaanza kuscream as if uko guest hapana.

heshima iko pale pale ila lazima mechi ichezwe tu.
 
Sipati picha umepata binti
anakuja na mumewe na kuleta ya 'lap dance na striping' kwako
na wewe usiku unasikia sikia mambo
sipati picha kwa kweli lol
 
na ndio maana nilisema tulitengenezewa chumba chenye privacy ya kutosha.

Kwa malezi na makuzi yangu mie...bado nitakuwa na kigugumizi cha mikono na miguu...

Bado nahisi kama ukweni siyo uwanja mzuri wa kuchezea mechi halafu mtu ukajiachia!!

Bora hata kwetu ila siyo kwa wakwe wangu...

Babu DC!!
 
Integemea aisee siwezi hapa kukupa jibu la moja moja..
Japo tukiendaga wanatujengea mazingira ya kuwa pamoja..but siwezi kujiachia kama ninavokuwa anfield..
Kikubwa kama alivosema Dark City ninapima privacy ilivokaa na issues za kujiachia si unajua zinataka nafasi...

sasa umenena mie nilitengewa chumba na mpaka leo kwetu kila aliyeolewa amepewa chumba chake chenye privacy ya kutosha tena ambacho hata wazazi hamuwaoni. kwanini katika zingira hilo usifanye? hebu imagine babu anasema sisi tunalala na wajukuu chumban kwetu na anawaambia kalaleni mmechoka hapo utafanyaje? siwez kumlaza hubby alone kisha nikarudi kulala na wadogo zangu bana na istoshe siibi ni haki yangu lol!
 
jamani sifanyii upenuni nafanyia chumban asiponiona mtu yyte, sasa nimekuuliza hivi kama nitaingia na hubby rum nisifanye nania anajua kwamba sijafanya? ishu tu ni kumaintain ile heshima na huwez ukaanza kuscream as if uko guest hapana.

heshima iko pale pale ila lazima mechi ichezwe tu.

Sasa kama unajua huwezi kupiga kelele to the fullest...why do it?

Kwani kuna urgency gani kiasi kwamba msisubiri hadi mrudi kwenye uwanja wenu wa home??

Babu DC!!
 
Kwa malezi na makuzi yangu mie...bado nitakuwa na kigugumizi cha mikono na miguu...

Bado nahisi kama ukweni siyo uwanja mzuri wa kuchezea mechi halafu mtu ukajiachia!!

Bora hata kwetu ila siyo kwa wakwe wangu...

Babu DC!!

hivi babu aibu unaipata wapi ma kwanini unaona aibu.
je akija baba mkwe kukusalimia utaweza kulala bdrum na mkeo pasi woga?
 
Sasa kama unajua huwezi kupiga kelele to the fullest...why do it?

Kwani kuna urgency gani kiasi kwamba msisubiri hadi mrudi kwenye uwanja wenu wa home??

Babu DC!!

babu kuna hali fulan ya kutamani hasa uwanja wa ugenini jamani. imagine ni vijijini irina huko kuna baridi ukikumbatiwa hutatamani?
 
Sipati picha umepata binti
anakuja na mumewe na kuleta ya 'lap dance na striping' kwako
na wewe usiku unasikia sikia mambo
sipati picha kwa kweli lol

Hapo lazima mtaacha hadithi kijijini...

Ni hatari kwa kweli...

Labda kama anavyosema gfsonwin, inawezekana kama room ina maximum privacy!!
 
Last edited by a moderator:
Sipati picha umepata binti
anakuja na mumewe na kuleta ya 'lap dance na striping' kwako
na wewe usiku unasikia sikia mambo
sipati picha kwa kweli lol

mie kwangu ni poa tu kama kaolewa sina shaka.
 
Back
Top Bottom