Leo naomba wataalam wa mahusiano na saikolojia mnisaidie kuondokana na utata huu!
Hapo kwenye mstari umesema kweli kabisa. Kwa kawaida watu wanavutiwa na watu wanaofanana kwa sura au tabia na wazazi wao au na ndugu zao (kaka/dada). Sura za aina hiyo zikijitokeza inakuwa kama sumaku mbele ya chuma. Inakuwa rahisi sana kujenga uhusiano na watu wa aina hiyo. Kimantiki, wale wanaofanana wa wazazi wetu mara nyingi wanafanana na sisi pia kwani sisi tunakuwa tumerithi mengi kutoka kwa wazazi wetu vikiwemo sura na hata tabia.hakuna saikolojia au jingine ila maelekezo ya Muumba ya kuwa wakiooana wanakuwa mwili mmoja.........................na mwili mmoja ni lazima ufanane kifikra na kimatendo..........wakishindwa kuwa hivyo......................basi migongano huanza na mwishowe wake wanaachana.........
ingawaje wapo wanaosema..............ya kuwa wapenzi hupenda kuolewa na wale wenye sura zinazofanana na za wazazi wao........................upo huo ukweli ingawaje siyo wote.....................wapo ambao wanasema kutokana na watoto watu huanza kuona sura za wazazi zinashahibiana....................tough call
hapo kwenye mstari umesema kweli kabisa. Kwa kawaida watu wanavutiwa na watu wanaofanana kwa sura au tabia na wazazi wao au na ndugu zao (kaka/dada). Sura za aina hiyo zikijitokeza inakuwa kama sumaku mbele ya chuma. Inakuwa rahisi sana kujenga uhusiano na watu wa aina hiyo. Kimantiki, wale wanaofanana wa wazazi wetu mara nyingi wanafanana na sisi pia kwani sisi tunakuwa tumerithi mengi kutoka kwa wazazi wetu vikiwemo sura na hata tabia.
Wakuu natumaini wote muwazima wa afya!!!!
Leo naomba wataalam wa mahusiano na saikolojia mnisaidie kuondokana na utata huu!
Ni muda sasa nimekuwa nikisikia kuwa Wana ndoa wakiishi pamoja baada ya muda fulani hufikia kiwango cha kufanana (kwa sura). Nimesikia mara kadhaaa na mimi nahisi kama kuwa watu ninao wafahamu wanaofanana (wana ndoa).
Lakini cha ajabu zaidi ya watu watatu nao wameniambia "wewe (Mimi) umefanana na Mkeo", nikashtuka sana. Inakuwaje nifananane na mtu ambaye nilikutana naye akiwa mtu mzima tayari? Na ndoa yenyewe ndio kwanza ina miaka mitano tu?
Wataalam naomba mnijuze nini kinasababisha watu (wana ndoa) waonekane kama wanafanana? na je dhana hii ni ya kweli au ni upofu wa macho yetu tu?
Hapo kwenye mstari umesema kweli kabisa. Kwa kawaida watu wanavutiwa na watu wanaofanana kwa sura au tabia na wazazi wao au na ndugu zao (kaka/dada). Sura za aina hiyo zikijitokeza inakuwa kama sumaku mbele ya chuma. Inakuwa rahisi sana kujenga uhusiano na watu wa aina hiyo. Kimantiki, wale wanaofanana wa wazazi wetu mara nyingi wanafanana na sisi pia kwani sisi tunakuwa tumerithi mengi kutoka kwa wazazi wetu vikiwemo sura na hata tabia.
Khaaaa! sina hakika kama kuna ukweli hapa hasa kwa upande wangu. Kuhusu watoto ajabu ni kwamba wote waliosema mimi nafanana na My Wife wangu tunafanana hawajawahi kumwona mtoto wangu hii inakaaje?hakuna saikolojia au jingine ila maelekezo ya Muumba ya kuwa wakiooana wanakuwa mwili mmoja.........................na mwili mmoja ni lazima ufanane kifikra na kimatendo..........wakishindwa kuwa hivyo......................basi migongano huanza na mwishowe wake wanaachana.........
ingawaje wapo wanaosema..............ya kuwa wapenzi hupenda kuolewa na wale wenye sura zinazofanana na za wazazi wao........................upo huo ukweli ingawaje siyo wote.....................wapo ambao wanasema kutokana na watoto watu huanza kuona sura za wazazi zinashahibiana....................tough call
Wakuu natumaini wote muwazima wa afya!!!!
Leo naomba wataalam wa mahusiano na saikolojia mnisaidie kuondokana na utata huu!
Ni muda sasa nimekuwa nikisikia kuwa Wana ndoa wakiishi pamoja baada ya muda fulani hufikia kiwango cha kufanana (kwa sura). Nimesikia mara kadhaaa na mimi nahisi kama kuwa watu ninao wafahamu wanaofanana (wana ndoa).
Lakini cha ajabu zaidi ya watu watatu nao wameniambia "wewe (Mimi) umefanana na Mkeo", nikashtuka sana. Inakuwaje nifananane na mtu ambaye nilikutana naye akiwa mtu mzima tayari? Na ndoa yenyewe ndio kwanza ina miaka mitano tu?
Wataalam naomba mnijuze nini kinasababisha watu (wana ndoa) waonekane kama wanafanana? na je dhana hii ni ya kweli au ni upofu wa macho yetu tu?
oooh! God.....ina maana nitakuja kufanana na huu mpapule ulo lala pembeni yangu??
Inasemekana kua wanaume wenye upendo mkubwa kwa mama zao wanavutiwa na wanawake wenye kumfanana mama. Na kama wewe na mama yako mmefanana basi inakua hivo. kufanana huko kutaendelea kadri unavo zidi kumsifia kila akivaa/akijiremba kama vile mama yako. Ila sio rahisi kwako kutambua kua ni sababu kamfanana mama ndio amependeza.
The opposite is also true, maybe unamfanana baba yake na anakupa compliments kila ukisema au ukivaa kama baba yake. with time wewe na yeye mnafanana...
makuuubwa!oooh! God.....ina maana nitakuja kufanana na huu mpapule ulo lala pembeni yangu??