Mke mzuri wa nini mtafute mwenye dini

Mke mzuri wa nini mtafute mwenye dini

We mwanaume Ndio inabidi umbadilishe mwanamke. Kwa waislam mwanaume atakayeoa mwanamke ambaye si mcha Mungu na akambadilisha mke wake akawa Kwenye imani mwanaume huyu atapata thawab kubwa Sana kwa Mwenyez Mungu. Kuliko Yule atakayeoa Mcha Mungu mwenzie
kuna ambao hawabaidiliki kabisa....
 
mmmh.! walivyowasumbufu kutaka ndoa hawa...
Hivi mtu uliyekuwa na mahusiano nae zaidi ya mwaka unasema anausumbufu wa kutaka ndoa!!
Msitafute visingizio.
unaona ss.....kaProve kabisa hapa

cc: mind ur business
We unadhani kwanini mambo tafrani siku hizi? Mtu unaona kabisaa hamjafahamiana vya kutosha ila anataka ndoa, lazima uone something is wrong somewhere.

Yaani siku hizi tunaanza na uchumba then ndoa, urafiki utaanza ndani ya ndoa, hapo ndipo balaa oinapoanzia.
 
Hivi mtu uliyekuwa na mahusiano nae zaidi ya mwaka unasema anausumbufu wa kutaka ndoa!!
Msitafute visingizio.

We unadhani kwanini mambo tafrani siku hizi? Mtu unaona kabisaa hamjafahamiana vya kutosha ila anataka ndoa, lazima uone something is wrong somewhere.

Yaani siku hizi tunaanza na uchumba then ndoa, urafiki utaanza ndani ya ndoa, hapo ndipo balaa oinapoanzia.
ndio, mwaka au miaka 2 ni muda mdogo sana wa kufahamiana....na hivyo mnavyojua kupretend, Mungu atusaidie kwakweri.

hivi unajua kama mapenzi yenu yakianzia kutoka urafiki huwa matamu sana na yanadumu.!!!
 
Nyie hamjui kupretend[emoji57]
Na huo urafiki unataka uwe wa karne ngapi?
Mtu akiamua kukuektia hata miaka 10 ataekti tu ili atimize lengo lake.
 
Shangee,

Jamani kina baba nakuusieni wakati mnapotafuta wenza wa kuwaoa uzuri usiwe kigezo cha kuona kua mwanamke huyo atakupa faraja.

Wanawake wote ni pasua kichwa ukimchagua kwa uzuri wake basi andika umeumia hawa madada ni wa ajabu sana wanaekwa ndani wanakua na nyodo ila wakiachika wanaanza kujirahisisha.

Uvumilivu katika majumba yetu ndio unatawala ila kama si wa kuwavumilia mwanaume ukichagua uzuri baaada ya dini kama ni kuacha utaacha asubuhi na jioni, wadada kweli nyie ni muhimu ila mmezidi tena ila ukimuoa mwenye dini nafsi yako itatulia sana kwani;

1 Atajua wajibu wake
2 Atakuheshimu kama isemavyo dini
3 Atawalea watoto katika dini
4 Atakuhimiza nawe kufanya ibada
5 Atakusamehe unapomkosea

Ila kama umechukua shamkupe ukikerana nae basi anakupa adhabu ya kukunyima kipande cha mwili sasa wewe ukichepuka je, ama ukimpiga na chini.

Binafsi niko na wake 2 ila naona kama kuna hatari ya kupigana chini wote ama nile bata ama nitafute wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila usioe mlokole, anashinda kwa mchungaji usiku wa manane 'wakitoa' mapepo!
 
Nyie hamjui kupretend[emoji57]
Na huo urafiki unataka uwe wa karne ngapi?
Mtu akiamua kukuektia hata miaka 10 ataekti tu ili atimize lengo lake.
wanaume hatujui kuact bwana....kama hakupendi miezi michache tu unajua, nyie ndio wenye hicho kipaji.

mnajua kuvaa uhusika haswaa..
 
Umesema kweli ila tabia ni kama ngozi wanawake tunajitahidi kwa wao kuwabembeleza ila mwanmke hakusami hadi siku mushatengana ndio anajua thamini ya mume hasa maisha yakimpoga

Sent using Jamii Forums mobile app

Umesema anajua thamani ya Mme hasa maisha yakimponda kama ni hivyo ujue wewe ulikuwa ni ATM yake tu lakini upendo wa dhati hakuwa nao. Ina maana kama maisha hayajamponda hajui thamani yako.
 
Back
Top Bottom