Mke mzuri wa nini mtafute mwenye dini

Mke mzuri wa nini mtafute mwenye dini

We mwanaume Ndio inabidi umbadilishe mwanamke. Kwa waislam mwanaume atakayeoa mwanamke ambaye si mcha Mungu na akambadilisha mke wake akawa Kwenye imani mwanaume huyu atapata thawab kubwa Sana kwa Mwenyez Mungu. Kuliko Yule atakayeoa Mcha Mungu mwenzie
Weee kwani mi nai 'press' imani yake!??mi nam 'press' yeye so lazima awe 'mkare' aisee!nisije oa nikaanza chunggulia nje nje tena sheikh.Imani Mungu ndo anaiujua vizuri zaidi
 
Back
Top Bottom