mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Shangee,
Jamani kina baba nakuusieni wakati mnapotafuta wenza wa kuwaoa uzuri usiwe kigezo cha kuona kua mwanamke huyo atakupa faraja.
Wanawake wote ni pasua kichwa ukimchagua kwa uzuri wake basi andika umeumia hawa madada ni wa ajabu sana wanaekwa ndani wanakua na nyodo ila wakiachika wanaanza kujirahisisha.
Uvumilivu katika majumba yetu ndio unatawala ila kama si wa kuwavumilia mwanaume ukichagua uzuri baaada ya dini kama ni kuacha utaacha asubuhi na jioni, wadada kweli nyie ni muhimu ila mmezidi tena ila ukimuoa mwenye dini nafsi yako itatulia sana kwani;
1 Atajua wajibu wake
2 Atakuheshimu kama isemavyo dini
3 Atawalea watoto katika dini
4 Atakuhimiza nawe kufanya ibada
5 Atakusamehe unapomkosea
Ila kama umechukua shamkupe ukikerana nae basi anakupa adhabu ya kukunyima kipande cha mwili sasa wewe ukichepuka je, ama ukimpiga na chini.
Binafsi niko na wake 2 ila naona kama kuna hatari ya kupigana chini wote ama nile bata ama nitafute wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app