Mke Mzungu!

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,272
7,220
jamani hivi kuwa na mke mzungu ni kitu cha ufahari sana eeh?kuna tangazo la kijarida fulani linalotangazwa na redio moja,msomaji tangazo amempamba sana msanii wa bongoflava kwa kuoa mzungu,au ndio kigezo cha kufanikiwa kimaisha?
 
Watanzania ndivyo tulivyo. Hilo jarida nimeliona.Kila mtu ana percetpion yake,jamaa alichoongea ni kuwa musiki umempa mke mzungu.Kuna ubaya gani katika sentensi hiyo?
 
Mkuu ukioa mzungu Kibongo bongo ujiko sana lakini wanao oa iwa wanaangalia sana kwenye maswala ya makaratasi kurahisishiwa.
 
Mkuu ukioa mzungu Kibongo bongo ujiko sana lakini wanao oa iwa wanaangalia sana kwenye maswala ya makaratasi kurahisishiwa.

Kwani kwenye kale kamchezo ka kumegana hawakawezi? Sijawahi jaribu nao.
 
Kwani kwenye kale kamchezo ka kumegana hawakawezi? Sijawahi jaribu nao.

Hehehehe jaribu mi nilisha jaribu mchina nikaona wabaridi na ninasikia wazungu nao ni wabaridi tofauti na weusi hawa bana duh.
 
wazungu noma niliisha date mzungu nikaishia kuwa na cheat na keusi kenzangu....kwanza hawaogi loooo kila siku wamechoka!
 
wazungu noma niliisha date mzungu nikaishia kuwa na cheat na keusi kenzangu....kwanza hawaogi loooo kila siku wamechoka!

Hahahaha umenikumbusha mkuu yule mchina niliye mega wkt napandisha mori si nikapima oil mzee kidole kilinuka balaa mpaka nilishindwa kula hawa usafi hakuna nasikia hata wahindi nao hivyo hivyo hawasafishi kabisa.
 
fidel na masanilo bwana basi tu yoyo yupo wapi?nikiboreka huwa nasoma michango yenu na nacheka sana hasa mkiwa wote kwenye thread moja
 
fidel na masanilo bwana basi tu yoyo yupo wapi?nikiboreka huwa nasoma michango yenu na nacheka sana hasa mkiwa wote kwenye thread moja

Wala usikonde wewe ni PM nitakuwa nakuchekesha zaidi hahahaahah...Kuna tetesi hapa Mjini Yo Yo amehusishwa na ugaidi ....!
 
fidel na masanilo bwana basi tu yoyo yupo wapi?nikiboreka huwa nasoma michango yenu na nacheka sana hasa mkiwa wote kwenye thread moja

hehehe Yo Yo yupo Dar amefulia kakosa nauli jana alikuwepo hapa lakini pesa ya c@fe ilimwishia akaondoka mapema si unajua bongo internet za kuvizia.
 
Halafu wengi huowa yale mabonge kama mama Rwakatare, wasio na soko

hahahaha mpwa ulisikia ile ya Wakenya kwenye mahotel kumega vibibi vya kizungu dah we acha yaani vimekosa vibabu huko vinakuja Africa kumegwa.
 
Wala usikonde wewe ni PM nitakuwa nakuchekesha zaidi hahahaahah...Kuna tetesi hapa Mjini Yo Yo amehusishwa na ugaidi ....!
ngoja aje adhibitishe mwenyewe hizi tetesi.ila kweli wewe ,fidel,yoyo na julius mkiwa thread moja bila kumsahau kely.
HAPANA sitakuPM maana napenda mkiwa kwenye thread moja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom