Mke Mzungu!

Kwani yeye nani alimpa ruhusa ya kuweka picha ya YALA MASIKINI?

Pili, wewe nani kakupa ruhusa ya KUNIULIZA mimi, ni nani kanipa ruhusa kuandika na kutuma? Kwani wee ni MGAMBO wa JF? Kwani Mjengwa aliandika USICHUKUE HIZI PICHA? Mbona kila siku watu wanaiba habari za JF na kuandika Magazetini na hata kusoma bungeni?

Hivi hiyo picha ya AVATAR ni yako? Nafahamu si yako, je uliomba ruhusa kutumia hiyo picha?

Mwisho, kama unafikiri unaweza kuja na kuanza kumtukana hapa Matonya, basi jaribu. Kama unafikiri utamkashifu basi jaribu. Mwisho kama unafahamu huyo jamaa mfokafokaji aliyeowa mzungu aliyekuwa anahojiwa kama ni Matonya basi sema ndiye, na kama siye basi sema siye.
kama hujui basi unafahamu nini cha kufanya........

Duuh! Naona shule zimefungwa mapema mwaka huu, au labda kuna mgomo mwingine wa walimu? :)
 
Ramani naweza mwaga hazarani tatizo ni kina Shigongo hawakawii kuokoteza mabrekingi stori na mabrekingi nyuzi,si unajua hawaishi kuvinjari ndani ya jf Mkuu? si unajua siku hizi jf imekuwa chanzo kikuu cha habari inji hii? au hujagundua hilo Mkuu? umesahau Shigongo alivyotuharibia kijiwe chetu cha wachina pale jirani na Rose Garden,halafu sijui alipata faida gani, na siku nyingine ashindwe na alegee!
Usiniambie chugga kulikuwa na kijiwe Cha wachina
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom