Mke Mzungu!

Hapana mkuu nazungumzia uzoefu! walio wengi ni hivyo, alikuwa ananishangaa kwanini naoga kila siku nataka kuwa mzungu kama yeye? uliza wanaoishi na wazungu ndugu! Umeenda mbali kule uislam na weusi kwenye IQs

Hilo la uchafu ni kweli kabisa hawa wenzetu wengi wao ni wachafu mpaka pua yako inaathirika...eti wengine wanathubutu kusema kuoga kila siku siyo healthy...mhhhhh!
 
Komredi unaharibu bana wazungu kutokana na data za Yo Yo wananuka sana

Komredi yaelekea hujawahi kukutana na vinuka mkojo wewe eeh? Hehehehe usiombee ukutane nao babu....kibaya zaidi ukutane na kinuka mkojo mwenye kikwapa...astaghafururahhhh....

Unajua mademu wengi wa kibongo hawapaki deodorant...sijui kwa nini tu aisee

Moral of the story is: Inategemea una hang na mademu wa aina gani. Kama ni mademu waliochoka haijalishi wana rangi gani ya ngozi. Watanuka tu. Mi nshakutana na vinuka mkojo weusi kibao mpaka jogoo mwenyewe akanywea bila hiari yake...acha mchezo bana..
 
Hapana mkuu nazungumzia uzoefu! walio wengi ni hivyo, alikuwa ananishangaa kwanini naoga kila siku nataka kuwa mzungu kama yeye? uliza wanaoishi na wazungu ndugu! Umeenda mbali kule uislam na weusi kwenye IQs

Shemeji yako Mzungu na sio wa makaratasi wala kibonge ni mapenzi tu, lazima nimtetee! na mapenzi ni motomoto sawa tu au kuliko weusi niliokuwa nao kabla.
 
Sorry napunguza ukali shemeji asichukie....ila tafuta kipoozeo, Black coffee, black tea....
 
Unajua mademu wengi wa kibongo hawapaki deodorant...sijui kwa nini tu aisee.

hehehehe yeah hii ipo sana unakuta kwa duu ananukia safi lakini ukienda kumega dah chumba kinachafua hali ya hewa.
 
Toa ramani mkuu maana wale ni full kujiexpress kama kawa wazawa.
Ramani naweza mwaga hazarani tatizo ni kina Shigongo hawakawii kuokoteza mabrekingi stori na mabrekingi nyuzi,si unajua hawaishi kuvinjari ndani ya jf Mkuu? si unajua siku hizi jf imekuwa chanzo kikuu cha habari inji hii? au hujagundua hilo Mkuu? umesahau Shigongo alivyotuharibia kijiwe chetu cha wachina pale jirani na Rose Garden,halafu sijui alipata faida gani, na siku nyingine ashindwe na alegee!
 
hehehehe yeah hii ipo sana unakuta kwa duu ananukia safi lakini ukienda kumega dah chumba kinachafua hali ya hewa.

Hehehehe...halafu mademu weusi wananuka midomo. Hawajui kupiga mswaki...wao wanasugua meno tu basi. hawakwangui ulimi, fizi, na paa la mdomo (roof of the mouth). Hawaendi kwa waganga wa meno kusafishwa meno yao. Hawa floss, hawatumii mouthwash....yaani vurugu mechi tu
 
Hehehe komredi naona wewe una demu mtasha bila shaka
 
Hehehehe...halafu mademu weusi wananuka midomo. Hawajui kupiga mswaki...wao wanasugua meno tu basi. hawakwangui ulimi, fizi, na paa la mdomo (roof of the mouth). Hawaendi kwa waganga wa meno kusafishwa meno yao. Hawa floss, hawatumii mouthwash....yaani vurugu mechi tu
Mkuu Julius polepole this is from one extreme to another tuweke balance
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom