Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,621
- 27,567
Ni kwelii,,je kwa wanaume??Me nilikuwaga na gfriend wa aina hiyo nikajua ni upendo/wivu wake kwangu so sikuwa namtilia shaka wala kumquat ilia sana mambo yake wala simu zake. Pia nyendo zake niliziamini kwani muda mwingi tupo wote.
Duuuuuh, siku amekwenda salon akaiacha simu yake kwenye charge uzuri pattern nilikuwa nazifahamu.
Niliyokutana nayo humo ni hatari, sms za mabwana kama nane hv tofauti ambao tayari washamkaza wengine wachungaji, maboss wake, hadi fundi carpenter... Sms nyingine ilikuwa ya jana yake katoka kupasuliwa room no 15 guest, mana ndo alipoelekezwa na boss wake.
Hapo ndipo nilipoamini ule usemi wa "mwizi hamwamini mtu yoyote anaona kila mtu naye ni mwizi "
Uzuri nilikuwa simpendi kivile so nikapata strong reason ya kumpiga chini siku hiyohiyo.
Ogopa sana wanawake wenye wivu kupita kiasi, hiyo huwa ni ngao ya kufunikia uchafu wao.