Mke mwenye wivu uliopitiliza

Me nilikuwaga na gfriend wa aina hiyo nikajua ni upendo/wivu wake kwangu so sikuwa namtilia shaka wala kumquat ilia sana mambo yake wala simu zake. Pia nyendo zake niliziamini kwani muda mwingi tupo wote.
Duuuuuh, siku amekwenda salon akaiacha simu yake kwenye charge uzuri pattern nilikuwa nazifahamu.
Niliyokutana nayo humo ni hatari, sms za mabwana kama nane hv tofauti ambao tayari washamkaza wengine wachungaji, maboss wake, hadi fundi carpenter... Sms nyingine ilikuwa ya jana yake katoka kupasuliwa room no 15 guest, mana ndo alipoelekezwa na boss wake.
Hapo ndipo nilipoamini ule usemi wa "mwizi hamwamini mtu yoyote anaona kila mtu naye ni mwizi "
Uzuri nilikuwa simpendi kivile so nikapata strong reason ya kumpiga chini siku hiyohiyo.
Ogopa sana wanawake wenye wivu kupita kiasi, hiyo huwa ni ngao ya kufunikia uchafu wao.
Ni kwelii,,je kwa wanaume??
 
bora nijinyamazie tu watoto wa mujini wanasema kuliamsha dude maana anakaba hadi nanihii! Hahahahahahaha halafu kubadili vitasa vyote vya nyumba mume hata kuingia nyumbani kwake hawezi halafu huku unaimbiwa nyimbo ya Rihanna. Bora watu wamejitambua lakini utasikia mie sina wivu

Nimejikuta nacheka. Duuh

BAK pita huku. Ujue nimemkumbuka mtu mmoja hapa.

Hahahaaaaaa
 
Hahaaa. Ila namsifu ni mjanja sana ujue anajua kuchunga mzigo wake.

Pia sikuwa najua kumbe BAK na wewe ni muoga wa kuamshiwa madude kiasi hicho. Ila naamini hana wivu ni mahaba tu yale sio bure.
 
Mh! Mahaba ya kubadili hadi vitasa! sipendi kununiwa hasa pale kununiwa ni kwa sababu ambazo hazihusu kitu ila wivu wa kukaba hadi nanihii
Mwingine mwenye wivu wa kupitiliza huyu hapa. Aliliamsha dude wakiwa angani ikabidi hadi pilot ashuke ardhini ili kuwafukuza ndani ya ndege.

http://nyp.st/2zoVSAV

Wewe umekaliwa hakuna cha wivu hapo. Yani anachukua simu yako anapekua kama anavyotaka, anafuta majina anatukana watu wewe unamuangalia tu!! Kakuoa au umemuoa? Ni mtoto wa Rais au Waziri au Mamunyange?
 
Me nilikuwaga na gfriend wa aina hiyo nikajua ni upendo/wivu wake kwangu so sikuwa namtilia shaka wala kumquat ilia sana mambo yake wala simu zake. Pia nyendo zake niliziamini kwani muda mwingi tupo wote.
Duuuuuh, siku amekwenda salon akaiacha simu yake kwenye charge uzuri pattern nilikuwa nazifahamu.
Niliyokutana nayo humo ni hatari, sms za mabwana kama nane hv tofauti ambao tayari washamkaza wengine wachungaji, maboss wake, hadi fundi carpenter... Sms nyingine ilikuwa ya jana yake katoka kupasuliwa room no 15 guest, mana ndo alipoelekezwa na boss wake.
Hapo ndipo nilipoamini ule usemi wa "mwizi hamwamini mtu yoyote anaona kila mtu naye ni mwizi "
Uzuri nilikuwa simpendi kivile so nikapata strong reason ya kumpiga chini siku hiyohiyo.
Ogopa sana wanawake wenye wivu kupita kiasi, hiyo huwa ni ngao ya kufunikia uchafu wao.

Safi
 
1. cmu usiweke password. passowrd ndiyo huvuta aone ulichoficha humo.
2. akifuta wateja - kama ni kweli basi punguza matumizi home maaana mwambie umewatukana wateja na sina mawasiliano kwa hiyo aelewe hilo.
3, kaa naye mueleweshe - ila na wewe kweli uwe mwaminifu.

Safi hii
 
Mh! Mahaba ya kubadili hadi vitasa! sipendi kununiwa hasa pale kununiwa ni kwa sababu ambazo hazihusu kitu ila wivu wa kukaba hadi nanihii
Mwingine mwenye wivu wa kupitiliza huyu hapa. Aliliamsha dude wakiwa angani ikabidi hadi pilot ashuke ardhini ili kuwafukuza ndani ya ndege.

http://nyp.st/2zoVSAV

Nakubali ana wivu ila haujamfikia huyo mama wa ki Iran aisee.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyo aisee kaniacha hoi! Alianzisha ugomvi ndani ya ndege bila simile wala aibu angalau ya kusubiri wafike waendako. Njemba ililala ndani ya ndege mke akatumia dole la mume kuifungua simu na kuona siri zote za mchepuko.

Nimejikuta nacheka. Duuh

BAK pita huku. Ujue nimemkumbuka mtu mmoja hapa.
emoji85.png

Hahahaaaaaa

Nakubali ana wivu ila haujamfikia huyo mama wa ki Iran aisee.
 
Huyo aisee kaniacha hoi! Alianzisha ugomvi ndani ya ndege bila simile wala aibu angalau ya kusubiri wafike waendako. Njemba ililala ndani ya ndege mke akatumia dole la mume kuifungua simu na kuona siri zote za mchepuko.
Ila yote kwa yote wivu ni sunna BAK.

  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom