Mke mwenye wivu uliopitiliza


Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
22,358
Likes
34,172
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
22,358 34,172 280
Mtalaam wangu wa michepuko sijamuona kwny huu uzi
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
9,789
Likes
11,613
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
9,789 11,613 280
Duh huyo mwanamke hapana, huo ni ukichaa sio wivu! Hio mandate ya kufuta namba na kutukana watu kwenye simu amepewa na nani?
 
C

Captain Marvelous

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
1,073
Likes
873
Points
280
C

Captain Marvelous

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
1,073 873 280
Kumbe ndio inakuwaga hivyo!
Naanza uchunguzi
japo sio kwa kila mtu...ila kuchunguza inakuweka huru kuondoa mashaka.
binadamu ni kama kinyonga....
 
Mrs Van

Mrs Van

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
3,297
Likes
5,886
Points
280
Mrs Van

Mrs Van

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
3,297 5,886 280
Mh! Mahaba ya kubadili hadi vitasa! sipendi kununiwa hasa pale kununiwa ni kwa sababu ambazo hazihusu kitu ila wivu wa kukaba hadi nanihii
Mwingine mwenye wivu wa kupitiliza huyu hapa. Aliliamsha dude wakiwa angani ikabidi hadi pilot ashuke ardhini ili kuwafukuza ndani ya ndege.

http://nyp.st/2zoVSAV
 
Wgr30

Wgr30

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Messages
1,496
Likes
1,762
Points
280
Wgr30

Wgr30

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2017
1,496 1,762 280
Me nilikuwaga na gfriend wa aina hiyo nikajua ni upendo/wivu wake kwangu so sikuwa namtilia shaka wala kumquat ilia sana mambo yake wala simu zake. Pia nyendo zake niliziamini kwani muda mwingi tupo wote.
Duuuuuh, siku amekwenda salon akaiacha simu yake kwenye charge uzuri pattern nilikuwa nazifahamu.
Niliyokutana nayo humo ni hatari, sms za mabwana kama nane hv tofauti ambao tayari washamkaza wengine wachungaji, maboss wake, hadi fundi carpenter... Sms nyingine ilikuwa ya jana yake katoka kupasuliwa room no 15 guest, mana ndo alipoelekezwa na boss wake.
Hapo ndipo nilipoamini ule usemi wa "mwizi hamwamini mtu yoyote anaona kila mtu naye ni mwizi "
Uzuri nilikuwa simpendi kivile so nikapata strong reason ya kumpiga chini siku hiyohiyo.
Ogopa sana wanawake wenye wivu kupita kiasi, hiyo huwa ni ngao ya kufunikia uchafu wao.
ukweli mchungu brother, umepita mle mle
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
3,555
Likes
4,380
Points
280
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
3,555 4,380 280
Kuna mambo mengi yasababishayo mtu kuwa na wivu
1. Hulka yake kwa ampendaye kwa dhati.
2. Wivu kutumika kama ngao/siraha ya kujilinda
3. Kutotaka akupoteze/ kumlinda umpendaye
4. Kutokukuamini, maana yawezekana anakujua tabia yako ya mashambulizi kwa sketi zipitazo mbele yako.

Siyo wote wanaotumia wivu kama ngao, wengine wana Upendo wa dhati.
Kaa naye kwa akili nyingi. Acha uchepukaji uwe mwaminifu kwake. Ongeza Upendo ili azidi kukuamini.
 

Forum statistics

Threads 1,235,149
Members 474,353
Posts 29,213,277