Mke mvivu wa kusali

Mke mvivu wa kusali

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,029
Reaction score
59,684
Mke mvivu wa kusali,mumewe akamwambia ukianza kusali kila sala nitakulipa 1 elfu5,na kwakua kawaida mtu anasali mara tano kwa siku mke akasali wiki 1,akamwambia mumewe haya nipe 175000 zangu,mume akamjibu utalipwa na mungu,mke akamjibu nilijua tu lazima unirushe hiyo hela ndio maana nlikua nasali bila kutawadha
 
Hahahahaaa huyo mama nae alikuwa na akili za madenge
 
Mke mvivu wa kusali,mumewe akamwambia ukianza kusali kila sala nitakulipa 1 elfu5,na kwakua kawaida mtu anasali mara tano kwa siku mke akasali wiki 1,akamwambia mumewe haya nipe 175000 zangu,mume akamjibu utalipwa na mungu,mke akamjibu nilijua tu lazima unirushe hiyo hela ndio maana nlikua nasali bila kutawadha

Kweli dunia haiishiwi vijimambo
 
Dada mmoja naye aliona uvivu maana kila siku sala ilikuwa inajirudia.
Akaiandika vizuri,akabandika ukutani karibu na kitanda.
Ikifika muda wa kusali,alikuwa ananyoosha mkono,anaigusa ile karatasi na kusema,
MUNGU HII HAPA,halafu analala!!!!
 
looool....
 
Atakuwa hana akili timamu huyo
 
Back
Top Bottom