Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Kuna mdau alisema kuwa alifanya utafiti, akaona kuwa wanawake wengi walioshindikana wanaishia kuolewa na wasukuma. Vipi wewe umeshindikana?
Ndio...,

mnyaturu au mnyiramba
ndio mpango mzima full maufundi kila sekta
Kuna mdau alisema kuwa alifanya utafiti, akaona kuwa wanawake wengi walioshindikana wanaishia kuolewa na wasukuma. Vipi wewe umeshindikana?
Mie nilipenda sana Msukuma :A S wink:
Ingawa sisi tunapanga hivi mungu anapanga vingine ,Mr ni mtu wa kuleeeeee...haha yote mipango ya mungu

mimi awe mhaya tu, aisee nawapenda hawa watu sana
jaman achan na mngoni asilia utkataa kurud kwen hawa watu wanajua kupenda,na kulilia kama unapinga ni pm
Mhhhh wewe.......aiseeee