Mke/Mme wako unapenda awe kabila gani?

Mke/Mme wako unapenda awe kabila gani?

kuna gentleman mmoja mnyasa namfagiliaaaa.....aisee em niingie kwenye maombi

Vip ndugu unaendeleaje na mnyasa daaaa na mimi itabidi niingie kwenye maombi sio bure aiseee hadi kieleweke loo!!
 
Mimi nafunguka kiroho safi mke/mchumba au kichepuko changu ningefarijika sana kama nikimpata MSANDAWE! Nasikia ni watamu sana hawa
Lkini km ww sio MSANDAWE jiandae KUCHAPIWA
avatar218350_3.gif
sasa wewe nkapa si Mmakonde kwanini hupendi viuno
mm tangu nizaliwe SIJAWAHI KATIKIWA VIUNO
 
msukume na mnyamwez yaan wapo care sana na ni wakarimu mm boy Wang ni msukuma mix mnyamwezi yaan evrytim I want to b with him coz nainjoi.presence yake maana wanajal ni wapole waelewa alaf weng wana mapenzi ya kwel. lol I love my sukuma boy lol
 
Back
Top Bottom