Mke/Mme wako unapenda awe kabila gani?

Mke/Mme wako unapenda awe kabila gani?

Kabila au ukoo una nini na mapenzi?? Natamani awe mwenye mapenzi na mimi tuuuuu, aniamini nami nimwamini tusitumie mamipira kama kinga
 
mi ninako nyumbani kwangu kabichii kazuri kweli hata hakajaguswa, karibu mkwe

Kweli wasandawe wazuri sana,na mimi niko naye mmoja ni kazuri mno!Nafanya mpango dogo langu limalize chuo amchukue jumla.Bila hivyo,ningeweza kupita.....
 
Kweli wasandawe wazuri sana,na mimi niko naye mmoja ni kazuri mno!Nafanya mpango dogo langu limalize chuo amchukue jumla.Bila hivyo,ningeweza kupita.....

hahahahaha usipite bwana mwachie dogo
 
Back
Top Bottom