City hunter j
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 926
- 380
watamu ..........,
Yeah watamu kuliko.hasa wakipandisha mori kunako
watamu ..........,
Humu jamvini tupo wengi sana, sasa ni vema tufahamiane kidogo ni mtu au kabila gani ungependa kuoa au kuolewa nalo hii itasaidia sana kwa wale wanaotafuta wake na waume.
Tuanze kufunguka kiroho safi kabisa unapenda mke/mme au mchumba wako awe kabila gani?
Mkurya ndio mambo yote!!

nakuunga mkono mkuu!
wewe je?Humu jamvini tupo wengi sana, sasa ni vema tufahamiane kidogo ni mtu au kabila gani ungependa kuoa au kuolewa nalo hii itasaidia sana kwa wale wanaotafuta wake na waume.
Tuanze kufunguka kiroho safi kabisa unapenda mke/mme au mchumba wako awe kabila gani?
Kabila,mhh hata sijui aisee,ila lisiwe langu,wakorofi sana
Dah!!
Nimeghairi!!
Yeyote except mkurya na muhaya
Hapo umesema msukuma mpango mmojaMsukuma