Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,808
Yeyote except mkurya na muhaya
Kwanini?
Yeyote except mkurya na muhaya
Wakurya, wengi wapo jeshini
Akuuu!!
Na huu mdomo nilionao hao watanikata kiungo kimoja kimoja nikishuhudia!!
Mi ningekuwa sijaoa ningeoa kabila la Dengue.
Hivi Ngorongoro Heroes na wanaijeria matokeo yalikuwaje?
Wewe mwarabu wa lindi anakufaa sana
We unabaki ndani sokoni anaenda yeye
Nibaki ndani muda wote mie utumbo?
We unapewa shughuli tu tena waarabu wa lindi kwa uwo mdomo wako ndio wanapendaga
Mwanaume wa kuniendea mpaka sokoni simtaki,atakuwa na gubu lazima
We mwanamke spesho ila kamdomo kanakuponza wanaowezana na kamdomo kako hako ni waarabu tu mimi nakusaidia tu![/QUOTE]
Ahsante kwa msaada ila waarabu NO!
Hakuna aliyekufa kisa yuko single!
Vipi tena,nimepatia?
Nimeshaanza kutajirika,sitaki kuacha mali zangu mapema mie...
Wamachame nawaogopa toka nikiwa mdogo!!
Msukuma,
Wana nidhamu,wana shepu,rangi nzuri pia...
Labda umpate wa kijijini,
Hawa wa mjini hovyooooo..
kuna mmoja humu jf namfahamu hovyoo kabisaaa