Mke malaya, nimfanyaje?

Mke malaya, nimfanyaje?

Mpaka umepata muda wa kuja kuomba ushauri hapa JF maana yake wewe ndio umeolewa.Cha msingi nenda kapime UKIMWI kabla hujaamua kuusambaza kwa wengine...mke wako anakujibu hivyo kwasababu anakudharau cha msingi mpe makofi ya kutosha tu mwenyewe nyumba ataiona chungu atasepa bila ya kupenda.
 
Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.

Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.

Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.

Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.

Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.

Msaada wenu
Hawez kuondoka bila kutimiza lengo lake la kukuondoa dunian,sasa ww unapomwacha hapo unajipalilia kifo chako
 
Itakuwa yeye ndio analisha familia ikiwemo wewe .
Kingine mmekaa muda watu huchokana eti .
Au hujui mmkae mpaka watoto mpate awe tu mwaminifu?
Kwanza ametaka tu uione makusudi kwa maana asingeacha simu.Au
Ulishawahi kumfanyia hivyo nayeye ndio anakurudishia .
Unajua kuoana nakuishi na mtu mpaka aje mumoja kufa kunakazii.
Inaonyesha hizo ndizo lifestyle yenu mmezoea hapo ndani wewe ndio unakuwa unaumia zaidi kushinda yeye ndio maana anafanya kikuume.
Haya ndio mashauri nakupa chagua moja.
Naikusaidie.
Ila huwezi kumfukuza couse mmeshaazaanaye watoto hawaezi kaa na mama wa kambo eti kisa umemfumania kwenye whtsupp hiyo nikichekesho.
Eti unamfukuza anabakii ulitaka aemde wapi?
Naanawatoto naalikuwa busy anawatafutia watoto chakula .
Wewe ukiwa busy unatafuta njee wakumtunza .
Halafu unaelekea wewe ni wale sampuli chafu zenye madharau.
Na ndio mke kachoka anakuonyeshea kuwahaupo mwenyewe kiakili sio kiumbulula.
 
Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.

Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.

Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.

Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.

Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.

Msaada wenu
We ni jinsia gan me au ke..
 
Wewe ni mwanaumwe au mvulana??
Yani amekujibu simple kweli kuonesha jinsi gani anakuchukulia.
Tafuta hela kijana.
Kuna kaka yangu pamoja na visenti vyake mkewe kamsaliti, mwezi wa saba huu hawako pamoja ,unaweza ukawa na pesa na ukaibiwa mke pamoja na pesa zako.
 
Mkuu mpaka sasa unafuga CHATU Ndani endelea kumlisha ili akue akumeze kabisa.
Screenshot_20180406-190145.png
 
mkuu..kama upo kwenye ndoa zingatia yafuatayo

UVUMILIVUUU TUUU...

Binafsi nikikupa kisa changu ndo utaweza choka...
wewe tambua mwanamke akiamua kugawa uchi atagawa tu..uwe mvumilivu ,,

ila uvumilie kama kaamua kugawa uchi wakati wewe unamtimizia kila kituuu...

kama humtimizii mahitaji ya ndani, na unasema uwe mvumilivu huo ni uzuzu...maana hatotulia kamwe nae atatafuta tonge pengine tu ..jua hilo
 
Itakuwa yeye ndio analisha familia ikiwemo wewe .
Kingine mmekaa muda watu huchokana eti .
Au hujui mmkae mpaka watoto mpate awe tu mwaminifu?
Kwanza ametaka tu uione makusudi kwa maana asingeacha simu.Au
Ulishawahi kumfanyia hivyo nayeye ndio anakurudishia .
Unajua kuoana nakuishi na mtu mpaka aje mumoja kufa kunakazii.
Inaonyesha hizo ndizo lifestyle yenu mmezoea hapo ndani wewe ndio unakuwa unaumia zaidi kushinda yeye ndio maana anafanya kikuume.
Haya ndio mashauri nakupa chagua moja.
Naikusaidie.
Ila huwezi kumfukuza couse mmeshaazaanaye watoto hawaezi kaa na mama wa kambo eti kisa umemfumania kwenye whtsupp hiyo nikichekesho.
Eti unamfukuza anabakii ulitaka aemde wapi?
Naanawatoto naalikuwa busy anawatafutia watoto chakula .
Wewe ukiwa busy unatafuta njee wakumtunza .
Halafu unaelekea wewe ni wale sampuli chafu zenye madharau.
Na ndio mke kachoka anakuonyeshea kuwahaupo mwenyewe kiakili sio kiumbulula.
Kuna member humu alisema
''Mwanamke akisha mvulia chupi
mwanaume mwingine huyo si wako
tena,na wala usitegemee heshima,upendo wala amani ktk nyumba yako''
 
Kuna member humu alisema
''Mwanamke akisha mvulia chupi
mwanaume mwingine huyo si wako
tena,na wala usitegemee heshima,upendo wala amani ktk nyumba yako''
Ila unakaukweli hapo ila je kama mwanaume akivua boxer kwa mwanamke mwingine sio wangu pia?
 
Itakuwa yeye ndio analisha familia ikiwemo wewe .
Kingine mmekaa muda watu huchokana eti .
Au hujui mmkae mpaka watoto mpate awe tu mwaminifu?
Kwanza ametaka tu uione makusudi kwa maana asingeacha simu.Au
Ulishawahi kumfanyia hivyo nayeye ndio anakurudishia .
Unajua kuoana nakuishi na mtu mpaka aje mumoja kufa kunakazii.
Inaonyesha hizo ndizo lifestyle yenu mmezoea hapo ndani wewe ndio unakuwa unaumia zaidi kushinda yeye ndio maana anafanya kikuume.
Haya ndio mashauri nakupa chagua moja.
Naikusaidie.
Ila huwezi kumfukuza couse mmeshaazaanaye watoto hawaezi kaa na mama wa kambo eti kisa umemfumania kwenye whtsupp hiyo nikichekesho.
Eti unamfukuza anabakii ulitaka aemde wapi?
Naanawatoto naalikuwa busy anawatafutia watoto chakula .
Wewe ukiwa busy unatafuta njee wakumtunza .
Halafu unaelekea wewe ni wale sampuli chafu zenye madharau.
Na ndio mke kachoka anakuonyeshea kuwahaupo mwenyewe kiakili sio kiumbulula.
sijawahi kutumiema pesa yake ata sent 5 ila tambua
 
ebu na Mimi nichangie kwa kueleza kisa changu ..
.. Nilifunga ndoa mwaka 2013 na binti niliye dumu naye kwenye uzinzi kwa miaka 2 namanisha tulikuwa tunagegedana kabla ya kufunga ndoa ...bahada ya mwaka mmoja na nusu kuishi nae kwenye ndoa tukapata Toto dume yani dume kweli kweli nikisema dume ujue dume tena jeusi pua kubwa ata kwenye ukoo wetu akuna mwenye lipua kama hilo..kitu ambocho family yangu ilipinga kuwa uyo mtoto ladhima nime pakaziwa ...nilimkingia kifua wife ..si unajua tena ndo napo ponea ..lakini bahada ya mtoto kuanza kutembea wife akanza kuleta machejo mengi..

Mara achelewe kurudi home .. Tena bila sababu muimu nikaona isiwe mbaya labda biashara yake ya mamalishe inakwenda vizuri mana kwa wakati huo alikuwa anauza chakula maeneo ya ubungo riverside .
Basi bwana simu yake akawa anazima anaporudi home .ikiwa on basi akipokea anakwenda kulonga nje... Kutokana na vitabia vya kijinga alivyo kuwa akionesha ..nikanza kufunguka macho nikaanza kuziona dosali adi kwa mtoto ..mana lile Toto lilikuwa na dole gumba LA mguu kubwa ata babu yangu akuwai kuwa nalo ..toto dogo Ila linaonesha kuwa na dalili za kipara kitu ambocho kwetu sisi akuna ..basi nakawa najimbia uenda kweli nyumbani waliniambia jambo LA kweli ..ila nikajipa moyo uenda nishetani tu anataka kuharibu ndoa yangu... Basi siku zikapita uku vitimbwi vya ashangedele vikiongeza nikawa na mezea tu mana kwa kipindi icho nilitimuliwa kazi kwenye banda LA chipsi sikuwa na kitu na wife ndo alisimamia family kwa wakati huo ikabidi niwe mpole ..kuna siku nipo home akawa amenda kuoga simu kacha kitandani ikabidi nichukue kwa lengo LA kuchukua namba ya dadake mana ilipotea bahada ya kulinyuu lain ..nikajikuta tu natazama chat zake ..nilicho kikuta uku sili yangu ..ila kikubwa ni kwamba wife anamsifia jamaa aliye msave jibaba kuwa kafanana na mtoto wake .tena anamsifu jibaba anajua kugegeda kuliko Mimi ....APA acha niluke coz najikuta natonesha kidonda ... Nikaludisha simu yake nika uchuna .... Nikatoka njee nikampigia MZEE simu nikamwambia kila kitu alicho nijibu ni USIKUBARI MWANAMKE AKARIBU FUTURE YAKO .banikapanga nguo zangu kwenye begi .bira kusahau kachet kangu ka form 4 .nikahiba na pesa yake 80000 .nikasepa sikuhaga MTU .nikalala kwa jamaangu shekilango .asubuhi nikapanda rungwe adi mbeya ..adi sasa navyo andika ivi Nina good life na miliki vibanda kazaa vya tigo pesa mabanda ya mipira ..na mambo yanaendelea ..NACHOKUSHAURI USIKUBARI MWANAMKE ARIBU FUTURE YAKO
Dah braza ulipiga moyo konde sana
 
sijawahi kutumiema pesa yake ata sent 5 ila tambua
Oh sawa kwanini unaomba ushauri huku watu wataongea mengi.
Ila mtu atakayekushauri vizuri ni yule mtu anayekufahamu.
Mfano Mama yako baba na ndugu zako.
So ukienda kwa marafiko zero watakushauri tofauti.
Ila wazazi ni kipaumbele katika maisha ukiwa na shida wafuate wao ndio wanasema ukweli tu ukuume au usikuume
 
Unaomba ushauri wa nini fukuza mbali..au mpaka akuletee ukimwi yani kweli iki nacho kinaitaji ushauri...duh kweli tunatofautiana na kwa majibu yake anaonekana anakuzidi nguvu au ulimwendekeza akawa na final say
 
Fukuza haiitaji ushauri dah kweli tunatofautiana na kwa majibu yake anaonekana kakuzidi nguvu...inaonekana ulimwendekeza
 
Fukuza haiitaji ushauri dah kweli tunatofautiana na kwa majibu yake anaonekana kakuzidi nguvu...inaonekana ulimwendekeza
Sio rahisi hivyo kama unavyofikiria kwa mtu uliyemwamini na kumpenda
 
Sio rahisi hivyo kama unavyofikiria kwa mtu uliyemwamini na kumpenda
Akimletea UKIMWI cz alimpenda haina shida sio ili awaache watoto yatima na hao wahuni...mkuu naona na wewe una mawazo kama ya mleta mada pole sana
 
Back
Top Bottom