Mke malaya, nimfanyaje?

Mke malaya, nimfanyaje?

Alafu ajutii anaongeza zarau tu

Mkuu KAGOMBE is this true !!!!??? If so, it's very unbelievable !!! The bottom line is she's not worthy to be a wife !! hakuna mke hapo. Take a bold decision and move forward !!!!
 
Mkuu KAGOMBE is this true !!!!??? If so, it's very unbelievable !!! The bottom line is she's not worthy to be a wife !! hakuna mke hapo. Take a bold decision and move forward !!!!
Mkuu nilishachukua maamuzi bila maamuzi nisingekua hapa leo nyuma ya keybord
 
kagombe,
Bila kuwa emotional....kuna kitu hujaweka wazi hapo!!!Baada ya yeye kukuuliza hayo maswali nini kiliendelea?Kwa maana baada ya kumuuliza juu ya ulichokiona ktk simu majibu ya mke yalikuwa nini? Huenda pia ulikuwa unamtuhumu kitambo na kuvizia simu yake naye akaamua ukuonesha kwa namna hiyo!!!!Anyway
hivi unajua mpaka mwanaume niliamua kuleta mada huu aiwezi kua mihemko,ila mungu ni mwema
 
Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.

Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.

Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.

Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.

Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.

Msaada wenu
Malaya huwa habadiliki mwache mara moja
 
Mwanamke hata ukimla vizuri kiasi gani hiyo si dawa ya kuacha kuchepuka.Kugegedwa ni starehe ya aina ya pekee kuliko starehe zote, kwa hiyo ni lazima baada ya kutoka kwako atatamani pia aonje utamu mahali pengine ukoje.Hii ni shida ya ulimwengu mzima na sidhani kama kuna dawa ya kukomesha.Zaidi ya starehe kwa mwanamke pia kuna kujipatia kipato baada ya kuhongwa.Kwa upande wa wanaume nako kuko vile vile, mwanaume anatamani kuwa na mwanamke mwingine tofauti na mkewe kwa sababu moja tu; nayo ni kutafuta starehe kuona kwingine kuna kuwa vipi.
Nimekuelewa vyema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom