Mke malaya, nimfanyaje?

Mke malaya, nimfanyaje?

Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.

Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda sokoni domini aliacha chaji ikawa inapigiwa sana jina linalokuja dada.

Kwakua huyo dada yake namjua jina nikapokea duh sauti ya kiume na akakata simu kucheki WhatsApp mke wangu kamtumia picha za ajabu uchi wa mnyama.

Sikumuuliza alivyo rudi akachukua simu yake akaona kuna mtu kapiga akatoka nje alivyorudi ananiuliza ulipokea simu yang? Nikamwambia ndio akanuliza kwa nini nipokee nikamjibu dada yako fulani alikua anapiga sana nikaona labda atakua na tatizo.

Akaniuliza umefungua WhatsApp nikamjibu ndio, alichoniambia ndio nachoomba ushauri kwenu. Eti nilichokitaka ndio nilichokiona tatizo nishamfukuza ila hataki kuondoka.

Msaada wenu
Pole Kaka!Ambao Hatujaoa Tunajifunza Kitu!Kwa Jinsi Alivyokujibu ni dhahiri kakuchoka!Wataarifu wazazi wake Au Ndugu Zake Kila Kitu Kisha Akikataa Kuondoka Basi Mwache Akae Ila Mfanyie mgomo baridi
 
Piga wewe unafikiri wazazi wetu kwann walikuwa wanapiga?
 
Ukaanza kuhojiwa wewe......af hata hujajitumia picha pia hna mamlaka kama mwanaume hapo....we sio kichwa...af umejibiwa simple kabisaa ...wti ulichokitaka umepata.....sio bure kuna shida sana kwako.....basi kama hujui cha kufanya hama
 
ebu na Mimi nichangie kwa kueleza kisa changu ..
.. Nilifunga ndoa mwaka 2013 na binti niliye dumu naye kwenye uzinzi kwa miaka 2 namanisha tulikuwa tunagegedana kabla ya kufunga ndoa ...bahada ya mwaka mmoja na nusu kuishi nae kwenye ndoa tukapata Toto dume yani dume kweli kweli nikisema dume ujue dume tena jeusi pua kubwa ata kwenye ukoo wetu akuna mwenye lipua kama hilo..kitu ambocho family yangu ilipinga kuwa uyo mtoto ladhima nime pakaziwa ...nilimkingia kifua wife ..si unajua tena ndo napo ponea ..lakini bahada ya mtoto kuanza kutembea wife akanza kuleta machejo mengi..

Mara achelewe kurudi home .. Tena bila sababu muimu nikaona isiwe mbaya labda biashara yake ya mamalishe inakwenda vizuri mana kwa wakati huo alikuwa anauza chakula maeneo ya ubungo riverside .
Basi bwana simu yake akawa anazima anaporudi home .ikiwa on basi akipokea anakwenda kulonga nje... Kutokana na vitabia vya kijinga alivyo kuwa akionesha ..nikanza kufunguka macho nikaanza kuziona dosali adi kwa mtoto ..mana lile Toto lilikuwa na dole gumba LA mguu kubwa ata babu yangu akuwai kuwa nalo ..toto dogo Ila linaonesha kuwa na dalili za kipara kitu ambocho kwetu sisi akuna ..basi nakawa najimbia uenda kweli nyumbani waliniambia jambo LA kweli ..ila nikajipa moyo uenda nishetani tu anataka kuharibu ndoa yangu... Basi siku zikapita uku vitimbwi vya ashangedele vikiongeza nikawa na mezea tu mana kwa kipindi icho nilitimuliwa kazi kwenye banda LA chipsi sikuwa na kitu na wife ndo alisimamia family kwa wakati huo ikabidi niwe mpole ..kuna siku nipo home akawa amenda kuoga simu kacha kitandani ikabidi nichukue kwa lengo LA kuchukua namba ya dadake mana ilipotea bahada ya kulinyuu lain ..nikajikuta tu natazama chat zake ..nilicho kikuta uku sili yangu ..ila kikubwa ni kwamba wife anamsifia jamaa aliye msave jibaba kuwa kafanana na mtoto wake .tena anamsifu jibaba anajua kugegeda kuliko Mimi ....APA acha niluke coz najikuta natonesha kidonda ... Nikaludisha simu yake nika uchuna .... Nikatoka njee nikampigia MZEE simu nikamwambia kila kitu alicho nijibu ni USIKUBARI MWANAMKE AKARIBU FUTURE YAKO .banikapanga nguo zangu kwenye begi .bira kusahau kachet kangu ka form 4 .nikahiba na pesa yake 80000 .nikasepa sikuhaga MTU .nikalala kwa jamaangu shekilango .asubuhi nikapanda rungwe adi mbeya ..adi sasa navyo andika ivi Nina good life na miliki vibanda kazaa vya tigo pesa mabanda ya mipira ..na mambo yanaendelea ..NACHOKUSHAURI USIKUBARI MWANAMKE ARIBU FUTURE YAKO
Well said bro.....pole sana aisee
 
Hivi mwanamke anataka ndoa au anataka agegedwe vizuri sana kipi anataka ..... Au haiwezekani asiwe na kimoja so ikikosekana moja anaisaka kwingine
 
Yaa sijaelewa...hayo maswali, wewe ndio ulikuwa una muuliza, au yeye alikuwa anakuuliza wewe..
Kama ni yeye alikuwa anakuuliza, hizo nguvu alizipata wapi, dah tunatofautiana sana.
Kwan jaman akiuliza amekosea nn
 
Yaa sijaelewa...hayo maswali, wewe ndio ulikuwa una muuliza, au yeye alikuwa anakuuliza wewe..
Kama ni yeye alikuwa anakuuliza, hizo nguvu alizipata wapi, dah tunatofautiana sana.
Ila ni mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu
 
Pole sana..... naamini hupendi shari kabisa, ni busara ya hali ya juu uliyotumia.
- nenda ustawi wa jamii waeleze hayo yote bila kuficha na kusudio lako.....acha kufikiria mali zilizopo,,,,chukulia za watoto.
- angalia ni namna gani watoto wataishi kwa furaha all the time.....kaanze upya,,,,,tena hata hukupaswa kuja huku kwanza,,,atakuua huyo ngobero.....aidha kwa sumu au presha.......ukipata mwingine kamwe usisogelee simu yake....
 
Mambo ya ndoa niamazito sana kubebeka katika fikra zetu hasa wanaume tulio na majukumu mengi. Pole sana
 
Hivi mwanamke anataka ndoa au anataka agegedwe vizuri sana kipi anataka ..... Au haiwezekani asiwe na kimoja so ikikosekana moja anaisaka kwingine
Mwanamke hata ukimla vizuri kiasi gani hiyo si dawa ya kuacha kuchepuka.Kugegedwa ni starehe ya aina ya pekee kuliko starehe zote, kwa hiyo ni lazima baada ya kutoka kwako atatamani pia aonje utamu mahali pengine ukoje.Hii ni shida ya ulimwengu mzima na sidhani kama kuna dawa ya kukomesha.Zaidi ya starehe kwa mwanamke pia kuna kujipatia kipato baada ya kuhongwa.Kwa upande wa wanaume nako kuko vile vile, mwanaume anatamani kuwa na mwanamke mwingine tofauti na mkewe kwa sababu moja tu; nayo ni kutafuta starehe kuona kwingine kuna kuwa vipi.
 
Back
Top Bottom