Mke malaya, nimfanyaje?

Mke malaya, nimfanyaje?

Maisha yamebadilika sana Ndugu

Kamwe usijaribu kushika simu ya mwanamke umpendae au mke wako.

Kamwe kamwe usijaribu hicho kitu

Utakayo yaona humo yanaweza kukuadhiri kisaikolojia kwa muda wote wa maisha yako

Wanawake hawa wa kitanzania wa sasa wapo kwenye kipindi cha mpito cha kuiga vitu vinavyofanywa na wanawake wa kizungu. Ni katika kipindi hichi ndipo sisi wanaume tutaumia sana!!!!
huwezi ishi na mkeo usishike simu yake! utakuwa huna wizu nae na maana yake utakuwa humpendi,na binafsi sijawahi ona mwanaume anaye oa mwanamke ambaye hajampenda!
 
eti.. umepokea simu yangu??
umeingia watsapp??

asee hebu nilale tu kwa sababu sitaki kuamini kuwa haya ni kweli yamekutokea
haki ya mungu yamenitokea me mwenyewe na sitaki mwanadamu mwenzangu ya mtokee.kama kuna wadada wenye tabia hizo waache maana ukitaka kufanya umala mtu afanyie kwa wazazi wake
 
ebu na Mimi nichangie kwa kueleza kisa changu ..
.. Nilifunga ndoa mwaka 2013 na binti niliye dumu naye kwenye uzinzi kwa miaka 2 namanisha tulikuwa tunagegedana kabla ya kufunga ndoa ...bahada ya mwaka mmoja na nusu kuishi nae kwenye ndoa tukapata Toto dume yani dume kweli kweli nikisema dume ujue dume tena jeusi pua kubwa ata kwenye ukoo wetu akuna mwenye lipua kama hilo..kitu ambocho family yangu ilipinga kuwa uyo mtoto ladhima nime pakaziwa ...nilimkingia kifua wife ..si unajua tena ndo napo ponea ..lakini bahada ya mtoto kuanza kutembea wife akanza kuleta machejo mengi..

Mara achelewe kurudi home .. Tena bila sababu muimu nikaona isiwe mbaya labda biashara yake ya mamalishe inakwenda vizuri mana kwa wakati huo alikuwa anauza chakula maeneo ya ubungo riverside .
Basi bwana simu yake akawa anazima anaporudi home .ikiwa on basi akipokea anakwenda kulonga nje... Kutokana na vitabia vya kijinga alivyo kuwa akionesha ..nikanza kufunguka macho nikaanza kuziona dosali adi kwa mtoto ..mana lile Toto lilikuwa na dole gumba LA mguu kubwa ata babu yangu akuwai kuwa nalo ..toto dogo Ila linaonesha kuwa na dalili za kipara kitu ambocho kwetu sisi akuna ..basi nakawa najimbia uenda kweli nyumbani waliniambia jambo LA kweli ..ila nikajipa moyo uenda nishetani tu anataka kuharibu ndoa yangu... Basi siku zikapita uku vitimbwi vya ashangedele vikiongeza nikawa na mezea tu mana kwa kipindi icho nilitimuliwa kazi kwenye banda LA chipsi sikuwa na kitu na wife ndo alisimamia family kwa wakati huo ikabidi niwe mpole ..kuna siku nipo home akawa amenda kuoga simu kacha kitandani ikabidi nichukue kwa lengo LA kuchukua namba ya dadake mana ilipotea bahada ya kulinyuu lain ..nikajikuta tu natazama chat zake ..nilicho kikuta uku sili yangu ..ila kikubwa ni kwamba wife anamsifia jamaa aliye msave jibaba kuwa kafanana na mtoto wake .tena anamsifu jibaba anajua kugegeda kuliko Mimi ....APA acha niluke coz najikuta natonesha kidonda ... Nikaludisha simu yake nika uchuna .... Nikatoka njee nikampigia MZEE simu nikamwambia kila kitu alicho nijibu ni USIKUBARI MWANAMKE AKARIBU FUTURE YAKO .banikapanga nguo zangu kwenye begi .bira kusahau kachet kangu ka form 4 .nikahiba na pesa yake 80000 .nikasepa sikuhaga MTU .nikalala kwa jamaangu shekilango .asubuhi nikapanda rungwe adi mbeya ..adi sasa navyo andika ivi Nina good life na miliki vibanda kazaa vya tigo pesa mabanda ya mipira ..na mambo yanaendelea ..NACHOKUSHAURI USIKUBARI MWANAMKE ARIBU FUTURE YAKO
 
Daaah nkisomaga visa vya waliopita wengine hamu ya kuoa huisha.
 
We tangu umeoa huyo hujachepuka mkuu?na aliye msafi ampige mawe......kama jibu ni ndio.muache kama umewahi kaeni chini myajenge muonye
 
Back
Top Bottom