mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,282
- 6,162
mkuu nunua panga jipya na tupa asubui ukiamka mtume akuletee unalinoa ukimaliza unampa arudishe ndani jioni ukirudi kutoka kazini unamtuma tena unanoa ukimaliza unampa arudishe ndani fanya hivyo week nzima alafu week inayokuja mwambia naenda kazini nikitudi nisikukute siku hio nakuambia hata hufiki kazini na yy hayupo ila chunga asije sepa na vitu vyote geto